Perfume roberto cavalli

Perfume roberto cavalli

raky

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
206
Reaction score
34
Wapendwa natafta perfume designer hapo juu inaitwa just cavalli her, nmeitafta sana hapa dar cjapata nililetewa na mdogo wangu wakati anatoka Italy, ameshamaliza shule harudi tena, nisaidieni pakuipata mwenye idea? Mungu awabariki sana
 
Perfume za bongo wanadilute kwa kutumia syringe.
Utakuta jina la brand unayotaka lakini smell tofauti.
 
Back
Top Bottom