Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 416
Leo asubuhi nilikuwa nikisikiliza BBC na nikavutiwa na habari moja inayohusu serikali ya Rwanda kuamua kuwafanyia tathmini watumishi wake wote ili kupima kiwango cha ufanisi wa utendaji wao.
Tathmini hiyo inafanyika katika makundi matatu ambapo watumishi watapewa maksi kama ifuatavyo..
Kundi la kwanza marks 70 - 100 (hawa wataendelea na ajira zao na kupandishwa madaraja/vyeo kama kuna sababu ya kufanya hivyo)
Kundi la Pili marks 50 - 69 (hawa wataondolewa kazini lakini wataruhusiwa kuomba upya kazi walizokuwa wakifanya na endapo watakuwa short listed watafanyiwa interview)
Kundi la tatu marks 0- 49 (hawa moja kwa moja wanatimuliwa kazi)
Nadhani tunahitaji utaratibu kama huu hapa Tanzania maana watumishi wengi wa taasisi za umma na serikali wamejiachia kiasi kwamba wanaona kama vile ofisi ni mali zao lugha chafu na majidai ya hovyo.
Hebu tujaribu hili laweza kutubadilisha na kuongeza ufanisi.....
Nawakilisha