PEP ndio kitu gani

hamisi nondo

Senior Member
Aug 21, 2011
192
172
Wakuu habari,,nimekuwa nikisikia watu wanasema kuwa ukishiriki ngono na mtu aliyeathirika na ukimwi,,ndan ya masaa 72 ukiwahi hospital na ukipata hiyo PEP,,,bas hatar ya kupata maabukiz inakuwa haipo tena,,je hii pep ndio nini naomba kufahamishwa tafadhali na unaitumia kwa muda gan
 
P.E.P stand for post exposure phophylaxis.

Ni huduma anayopewa mtu aliyeko kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi baada ya kukutana na hali ambayo sio salama kama vile kubakwa,kujichoma na sindano,kushikana na damu ya mtu ambayo hali yake ya maambukizi ya Hiv/aids haijulikani.

Sio kubakwa tu hata kwa watumishi wengine hasa wa afya nao pia wanapewa huduma za Pep.

Damu yako hupimwa na pia ya yule mtu anayehisiwa ukikutwa positive no pep ukikutwa neg pep mara moja before 72 hrs unakula dawa kwa 28days

name of drugs siwez kusema hapa better to see the drs kama unawasiwasi

Beta before 72 hours to target the life cycle of HiV virus after 72hrs no pep.

na usisubiri 72hrs ni vizuri kama unamashaka uwahi hosp mapema.

kwa kifupi sana ni hayo kuhusu pep
 
Je wakat unatumia hiyo pep alafu ukangonoka tena na muathirika je hatar ya kupata maambukizi bado inakuwa pale pale au inakuaje,, au ukishaanza kupata pep hata ukikutana na muathirika kunakua hamna tatizo lolote

Utatakiwa kupata psychological counseling, huwezi kuzibiwa ndoo halafu we uitoboe makusudi kisha uulize nikikinga maji itajaa.kadri unavyofanya ngono ambayo si salama na wenza wengi kuna uwezekano mkubwa wa kuwa unabeba kiasi cha aina ya virusi Fulani kutoka kwa mwenza wako.Usije shangaa mwisho wa siku ukawa na HIV type 1 &2
 
Back
Top Bottom