Pep Guardiola ni kocha wa kawaida sana

Huyu atakuwa hajui mpira kabisaaaaa...wee mtu alitenegeneza timu inapiga mpira mpaka kibabu fergei anatetema
Kachukua E.P.L Back to Back unamuita kocha mmbovu !!!


Hebu taja makocha waliowahi kuchukua E.P.L Back to Back tangia ilipobadilishwa mfumo wake miaka ya 90..... Mi naanza na mou na Ferguson

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengine una shindwa hata kushangaa yaani Pep sio best coach?
 
naona unachanganya sasa, kwani Mou na Abramovic ni kitu kimoja?

Abramovic ndie lieletae mageuzi Chelsea na sio Mourinho
Abromovic alileta mapinduzi wa kifedha mourinhol kaketa mapinduzi ya football
Pesa haichezi mpila kaka
 
Abromovic alileta mapinduzi wa kifedha mourinhol kaketa mapinduzi ya football
Pesa haichezi mpila kaka

Achu mawazo finyu kaka, Msimu wa mwanzo wa Chelsea chini ya Abramovic ilishika nafasi ya pili PL na Champion League Semi Final. Hiyo ndio impact ya Abramonvic hapo hata huyo Mou hakuwepo. Hayo mataji yangekuja tu hata kama Mou asingekuja.
 
Kusema ukweli Pep akipigikaga huwa naenjoy sana kwenye nafsi yangu.

Sijui ndio chuki zangu tu binafsi dhidi yake.😀

Watu wengi wanamchukia pep kisa samuel etoo ...eti pep mbaguzi 🤣🤣🤣🤣🤣
Kocha ana haki ya kuchagua wachezaji anaotaka kufanya nao kazi period.
 
#siopovu
Ninacho kiona sasa ni kwamba kipara makulega bwana Guadiola ni over hyped coach ni kocha ambae watu wana mchukulia kama 50 cent ila ki uhalisia ni 20 pasenti.

Kwa team aliyo nayo Guadiola pamoja hata na injury angekua kocha mwenye huu ubora anao imbwa alikua sio mtu wa kupoteza game nje ndani kwa zaidi ya timu 3 msimu mmoja anapigwa ye anapigwa tu! Home anapigwa away.
Makocha ote wanao jitambua wamempiga nje ndani na mechi ya liverpool anaenda kubondwa tena,

Huyo kocha kweli? ana beki ghali zaidi uwanjani ,anakiungo bora EPL team ina kila kitu ile!
Hata ile baki ya kina benjamin mendy sio mbovu kama watu wanavyo itafsiri ni ubovu tu wa mbinu za kocha .

Guadiola ni kanjanja tu mmoja sema mjanja mjanja ana bustiwa na nguvu ya pesa za timu anazofundisha.

Ukimuangali clopp kafundisha timu ndogo kabisa(Mainz) mpaka Dortimund wanamchukua alitikisa sana Bundes liga tena na timu yenye bajeti ya bilinganya kwenye usaji

Same kwa dortimund ila alisumbua na UEFA mpaka fainali.
Hata liverpool anabeba UEFA na sasa PL wachezaji wake ni wakawaida ila kocha amefanya kazi yake ipasavyo na inaonekana.

Leo umpe guadiola wolvermpton,chelsea,Arseanal au spurs anazishusha daraja kabisa

Ni kocha wa kawaida sana

Mourinyo kachukua UEFA na Fc Porto hakuna alie kua anatarajia kaja kuitambulisha chelsea ambayo ilikua kama burnley tu!

Guadiola ni kocha wakiwango cha kawaida sana hajafika hata kwa Ostadh Nuno Espenito wa wolvermpton.
#epl
#champion



mwanaspotiapp Uzi wako umeharibu kwa kusema before ya Mourinho Chelsea ilikuwa Kama burnley.Kingine kinachonisikitisha ulivyosema Guardiola akifundisha Chelsea itashuka daraja kwani Chelsea ina timu mbaya? au ukumbuki vizuri Liverpool ilipaki kibus kipindi Cha pili dhidi ya hii Chelsea.kiufupi umeandika uzi wako kimihemko na ushabiki wa kipuuzi usiojua soka.
 
Burnley inashiriki UEFA? Tuanzie halo kwanza
Kushiriki UEFA sio kipimo mkuu kumbuka Leiceister kashaenda tena akiwa bingwa Nothengham forest alibeba kabisa huko UEFA mpaka vitimu vibovu vibovu vinaendaga vikiamka na bahati... kipimo cha ubora wa timu ni dominance ,fan base, history mataji na brand EPL timu kubwa ni Liverpool ,Manchester United,Arsenal respectively.
 
mwanaspotiapp Uzi wako umeharibu kwa kusema before ya Mourinho Chelsea ilikuwa Kama burnley.Kingine kinachonisikitisha ulivyosema Guardiola akifundisha Chelsea itashuka daraja kwani Chelsea ina timu mbaya? au ukumbuki vizuri Liverpool ilipaki kibus kipindi Cha pili dhidi ya hii Chelsea.kiufupi umeandika uzi wako kimihemko na ushabiki wa kipuuzi usiojua soka.
Potelea mbali ila hoja yangu ya msingi natumaini umeipata Guadiola ni kocha wa kawaida sana
 
Watu wengi wanamchukia pep kisa samuel etoo ...eti pep mbaguzi
Kocha ana haki ya kuchagua wachezaji anaotaka kufanya nao kazi period.
Tungemchukia hata ferguson ambae alisema wazi kua hapendi kufanya kazi na waafrica
Sio etoo wala yaya toure bali ni uhalisia Pep ni wa kawaidaa sanaaaa.
 
Back
Top Bottom