Pep Guardiola ni kocha wa kawaida sana

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
964
1,685
#siopovu
Ninacho kiona sasa ni kwamba kipara makulega bwana Guadiola ni over hyped coach ni kocha ambae watu wana mchukulia kama 50 cent ila ki uhalisia ni 20 pasenti.

Kwa team aliyo nayo Guadiola pamoja hata na injury angekua kocha mwenye huu ubora anao imbwa alikua sio mtu wa kupoteza game nje ndani kwa zaidi ya timu 3 msimu mmoja anapigwa ye anapigwa tu! Home anapigwa away.
Makocha ote wanao jitambua wamempiga nje ndani na mechi ya liverpool anaenda kubondwa tena,

Huyo kocha kweli? ana beki ghali zaidi uwanjani ,anakiungo bora EPL team ina kila kitu ile!
Hata ile baki ya kina benjamin mendy sio mbovu kama watu wanavyo itafsiri ni ubovu tu wa mbinu za kocha .

Guadiola ni kanjanja tu mmoja sema mjanja mjanja ana bustiwa na nguvu ya pesa za timu anazofundisha.

Ukimuangali clopp kafundisha timu ndogo kabisa(Mainz) mpaka Dortimund wanamchukua alitikisa sana Bundes liga tena na timu yenye bajeti ya bilinganya kwenye usaji

Same kwa dortimund ila alisumbua na UEFA mpaka fainali.
Hata liverpool anabeba UEFA na sasa PL wachezaji wake ni wakawaida ila kocha amefanya kazi yake ipasavyo na inaonekana.

Leo umpe guadiola wolvermpton,chelsea,Arseanal au spurs anazishusha daraja kabisa

Ni kocha wa kawaida sana

Mourinyo kachukua UEFA na Fc Porto hakuna alie kua anatarajia kaja kuitambulisha chelsea ambayo ilikua kama burley tu!

Guadiola ni kocha wakiwango cha kawaida sana hajafika hata kwa Ostadh Nuno Espenito wa wolvermpton.
#epl
#champion

Kocha ni kama jua, kuna mawio na machweo na mzunguko huendelea hivyo hivyo. Klopp anaonekana ni kocha bora ila majuzi kapokea kipigo cha mbwa koko kutoka Atletico Madrid. Jiulize ni kwa nini mashabiki wa Liver wana hamu ligi iishe ila hawaulizii chochote kuhusu UEFA
#siopovu
Ninacho kiona sasa ni kwamba kipara makulega bwana Guadiola ni over hyped coach ni kocha ambae watu wana mchukulia kama 50 cent ila ki uhalisia ni 20 pasenti.

Kwa team aliyo nayo Guadiola pamoja hata na injury angekua kocha mwenye huu ubora anao imbwa alikua sio mtu wa kupoteza game nje ndani kwa zaidi ya timu 3 msimu mmoja anapigwa ye anapigwa tu! Home anapigwa away.
Makocha ote wanao jitambua wamempiga nje ndani na mechi ya liverpool anaenda kubondwa tena,

Huyo kocha kweli? ana beki ghali zaidi uwanjani ,anakiungo bora EPL team ina kila kitu ile!
Hata ile baki ya kina benjamin mendy sio mbovu kama watu wanavyo itafsiri ni ubovu tu wa mbinu za kocha .

Guadiola ni kanjanja tu mmoja sema mjanja mjanja ana bustiwa na nguvu ya pesa za timu anazofundisha.

Ukimuangali clopp kafundisha timu ndogo kabisa(Mainz) mpaka Dortimund wanamchukua alitikisa sana Bundes liga tena na timu yenye bajeti ya bilinganya kwenye usaji

Same kwa dortimund ila alisumbua na UEFA mpaka fainali.
Hata liverpool anabeba UEFA na sasa PL wachezaji wake ni wakawaida ila kocha amefanya kazi yake ipasavyo na inaonekana.

Leo umpe guadiola wolvermpton,chelsea,Arseanal au spurs anazishusha daraja kabisa

Ni kocha wa kawaida sana

Mourinyo kachukua UEFA na Fc Porto hakuna alie kua anatarajia kaja kuitambulisha chelsea ambayo ilikua kama burley tu!

Guadiola ni kocha wakiwango cha kawaida sana hajafika hata kwa Ostadh Nuno Espenito wa wolvermpton.
#epl
#champion

Kufungwa kwa pep sasa hakuondoi ubora wake. Pep ashathibitisha ubora wake akiwa pale barca, je ile barca ilikuwa ya bajeti kubwa? Mafanikio anayopata klop sasa Pep ashayapata tena zaidi. Je klop akianza kuyumba hapo baadae kama akina Morinyo au wenger walivyoyumba hatatambulika kuwa mmoja wapo wa kocha bora kuwahi kutokea?
 
#siopovu
Ninacho kiona sasa ni kwamba kipara makulega bwana Guadiola ni over hyped coach ni kocha ambae watu wana mchukulia kama 50 cent ila ki uhalisia ni 20 pasenti.

Kwa team aliyo nayo Guadiola pamoja hata na injury angekua kocha mwenye huu ubora anao imbwa alikua sio mtu wa kupoteza game nje ndani kwa zaidi ya timu 3 msimu mmoja anapigwa ye anapigwa tu! Home anapigwa away.
Makocha ote wanao jitambua wamempiga nje ndani na mechi ya liverpool anaenda kubondwa tena,

Huyo kocha kweli? ana beki ghali zaidi uwanjani ,anakiungo bora EPL team ina kila kitu ile!
Hata ile baki ya kina benjamin mendy sio mbovu kama watu wanavyo itafsiri ni ubovu tu wa mbinu za kocha .

Guadiola ni kanjanja tu mmoja sema mjanja mjanja ana bustiwa na nguvu ya pesa za timu anazofundisha.

Ukimuangali clopp kafundisha timu ndogo kabisa(Mainz) mpaka Dortimund wanamchukua alitikisa sana Bundes liga tena na timu yenye bajeti ya bilinganya kwenye usaji

Same kwa dortimund ila alisumbua na UEFA mpaka fainali.
Hata liverpool anabeba UEFA na sasa PL wachezaji wake ni wakawaida ila kocha amefanya kazi yake ipasavyo na inaonekana.

Leo umpe guadiola wolvermpton,chelsea,Arseanal au spurs anazishusha daraja kabisa

Ni kocha wa kawaida sana

Mourinyo kachukua UEFA na Fc Porto hakuna alie kua anatarajia kaja kuitambulisha chelsea ambayo ilikua kama burley tu!

Guadiola ni kocha wakiwango cha kawaida sana hajafika hata kwa Ostadh Nuno Espenito wa wolvermpton.
#epl
#champion

Ni sahihi kabisa. Kunywa bia ntalipa.
 
Back
Top Bottom