Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 4,953
- 6,071
Naam
Timu ya Barcelona imetolewa michuano ya klabu bingwa barani ulaya na timu ya Liverpool,
Kutoka Barca ya Rijikaard, Pep Guardiola, Luis Enquirie ( rekebisha) na sasa yupo Valverde bado Barca anapitia kipindi kigumu,
Barca ya pep ilikua ni " team work" yaan wote wanacheza na kufunga, unatengeneza nafasi yeyote ashinde...
Kipindi cha Luis Enrique yeye alitegemea utatu mtakatifu wa MSN (Messi, Suarez , Neymar jr)waliweza kushinda kombe la uefa,
Imepita takriban miaka 6 toka wachukue UCL mpaka sasa wamebadilisha makocha lakini wanaishia tuu kuchukua la liga,
Pamoja na ahadi za la pulga kwamba watabeba ndoo lakini jana walikutana na magical comeback, nini tatizo la Barca? Wachezaji? Kocha? Bodi?
Team ina messi peke yake the rest ni mediocre tu wakawaida saaana...
Kingine makocha wengi wanaokuja sasa lazima bodi wapate baraka kutoka kwa Messi, Messi anao uwezo wa kushauri kocha gani au mchezaji gani aje katika timu...
Kocha badala ya kufundisha mpira anakua shabiki wa Messi ( rejea Sampaoli),
Tujadiliane je Valverde anastahili lawama? Ni wakati wa kujiuzulu?