Elections 2010 People's power

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
Vox Populi Vox Dei ............Latin

pouvoir populaire .............French.


Viongozi wote waliopo madarakani duniani huogopa Misemo hii. Sauti ya watu ni sauti ya Mungu. Haiishindwi hata kwa ndumba na majini ya akina Yahaya Husein , wala mitutu , wala marungu,wala mabomu ya akina Shimbos na wenzake.

Ni sauiti tukufu

Haishindwi kwa fedha wala dhahabu za akina Rostam Azizi na Lowasa. Haishindwi kwa uchakucuhaji wala uchekechaji wa kura . Haishindwi kwa defamatory sms za akina Miraji Kikwete. Haishindwi na maneno ya kilaghai ya Salma Kikwete yule malkia aliyejitwalia madaraka bila kupewa nasi, na wala kwa uchifu wa Ridhwani Kikwete yule Prince wa Wanyakyusa , mlanguzi wa mafuta .

Kwa ufupi ni usemi usio na Mpinzani maana Mungu ndio yuko kati. CCM mwapaswa kulijua hili.
 

Join DateFri Sep 2010Posts350

Thanked 21 Times in 19 Posts


Thanks
0

Thanked 21 Times in 19 Po

Kila post kwako ni crap. Hiyo nyekundu ina maana yoyote kwako? CCM days are numbered. Ndipo mtakapokumbuka maneno haya.
 
Join DateFri Sep 2010Posts350

Thanked 21 Times in 19 Posts


Thanks
0

Thanked 21 Times in 19 Po

Kila post kwako ni crap. Hiyo nyekundu ina maana yoyote kwako? CCM days are numbered. Ndipo mtakapokumbuka maneno haya.
Huyu bwana si ccm ila ni wa CUF.
 
Ipo siku Tanzania hii itakuja kukombolewa!


siku yenyewe ni 31 octoba ndipo tutakaposhuhudia mabilion ya watanzania wakielekeza kura zao kwa mkombozi na mtetezi wa wanyonge mheshimiwa DR SLAA.
 
Join DateFri Sep 2010Posts350

Thanked 21 Times in 19 Posts


Thanks
0

Thanked 21 Times in 19 Po

Kila post kwako ni crap. Hiyo nyekundu ina maana yoyote kwako? CCM days are numbered. Ndipo mtakapokumbuka maneno haya.

Ujawahi kusikia mtu mzima hatishiwi NYAU?
 
U SOUND like JOTI,original comedy waliopoteza mvuto tokea wajiunge na CCM kwa njaa zao....watanzania acheni kuangalia orijino komedy,kwanza hawachekeshi,,MIZENGWE wapo juu kuliko hawa jamaa
 
Back
Top Bottom