People's power ya Dr Slaa kuvunja amani Tanzania?

Na hapa Je?
 

Attachments

  • 7.jpg
    7.jpg
    53.7 KB · Views: 43
kukunja NGUMI NI HURUKA YA KUTAKA MADARAKA KWA KUPIGANA EEEH??

Wewe mbona unaogopa sana kupigana na huku ukijua CCM ndiyo mwanzilishi wa vurugu zote zilizowahi tokea kule Pemba na kuuwa Watanzania wasio na hatia. Kama hupendi mapigano basi ni muda mnzuri kawambie ndugu zako wa NEC na CCM wasijaribu kuiba, wala kuchakachua matokeo!!. Waache Nature ichukue nafasi yake atakayeshinda na awe ameshinda!! LASIVYO HIZO NGUMI ZITAWABONDA KWELIKWELI.
 
Hawa chadema ni kawaida yao kutamba kila uchaguzi unapokuja oo nguvu ya umma, mwaka 2005 walikuwa na kauli mbiu hatulalali mpaka kieleweke!! Haya mbona mlilala baada ya hapo mpaka mkakoroma maana siku ile alipoapishwa kikwete mbona mbowe alihudhuria hafla hiyo? Kilieleweka nini? Kama mulikuwa na nguvu ya umma mbona hamkuungana na cuf ktk kuutumia umma ule kutomtambua kikwete? Au kuna kamchezo kalichezwa hapo(ufisadi)????

Mwaka huu mumekuja na peples power tena haya yetu macho ila ninavyo wajuwa chadema baada ya matokeo kama viongozi wenu hawatacheza mchezo mchafu basi musije mukadai mumeibiwa kura!!! Kwani wenzenu cuf walipokuwa wakichezewa hivyo simulikuwa mukiwakodolea macho eee!!

WANAOHUDHURIA MIKUTANO YA CHADEMA KAMA KAWAIDA YAO HUWA WANAMSIKIZA MGOMBEA WA CHAMA HICHO LAKINI SIKU YA UCHAGUZI WANAJUWA NANI WA KUMPA AU SIYO? NA KUNA WATU WENGI WANAOHUDHURIA MIKUTANO YA KAMPENI HASA YA WAPINZANI LAKINI UKIHESABU WALIOJIANDIKISHA UTAKUTA NI 20% PEKE YAKE!!!!

Mwaka huu ni sisi hatutalala mpaka kikwete amalizie miaka yake mitano!!!

okey ndo usemi wenu kuwa hatujajiandikisha, MMESAHAU KUWA WATU WALITUMIA VITAMBULISHO HIVYO WAKATI WAKUSAJILI NAMBA ZA CM, MWAKA HUU KAZIII KWELIKWELI!
CCM OYEEEEEE
 
Wewe mbona unaogopa sana kupigana na huku ukijua CCM ndiyo mwanzilishi wa vurugu zote zilizowahi tokea kule Pemba na kuuwa Watanzania wasio na hatia. Kama hupendi mapigano basi ni muda mnzuri kawambie ndugu zako wa NEC na CCM wasijaribu kuiba, wala kuchakachua matokeo!!. Waache Nature ichukue nafasi yake atakayeshinda na awe ameshinda!! LASIVYO HIZO NGUMI ZITAWABONDA KWELIKWELI.

Kama ndo msimamo wa CHADEMA tusibiri aman kuvunjika
 
Aongee taratibu kwani yeye mgonjwa?


Good point.. Ana afya tele wala hakuna wasiwasi wa kupiga chini. Unapodai haki yako unatakiwa upaze sauti na maguvu kibao ili mradi yapo... CHADEMA HUREEEEE!!
 
KWANINI WAFUASI WA CHADEMA WANKUNJA NGUMI?[/B

Swali lako ndugu halina mantiki kabsaaa, wewe ni sawa na wale wanaosema kuwa kwanini unaandika SMS kwa Dole gumba.....

You are still irrational jaribu tena kam huna hoja better usome hata magazeti ya udaku.
 
Rev. Masa, Mkuu chukua tano!!
Nakukubali sana kwa post zako zisizohitaji kupoteza maneno ... ni picha zinaongea mwendo mdundo. Hongera mkuu.
Baada ya 31 Oct wakati tunajipongeza kwa kuwang'oa mabeberu weusi, nitatoa pendekezo upewe tuzo ya aina yake, mchango wako ktk kuwabomoa watu wa ajabuajabu kam MS si haba!

(Inanikumbusha enzi za Brazameni .. kulee!!)
 
Mhhhh! Huyu naye Sita mbona kachoka ghafla!!! Au jinamizi la kuuza kiwanja kando ya Bahari ya Hindi pale Golden Tulip bado linamuandama? Alibadili hadi Sheria na asivyo na kumbukumbu bado anaongea kwenye public!!!
 
Back
Top Bottom