People's power ya Dr Slaa kuvunja amani Tanzania?

kWANINI HUYU ANAONGEA KWA KUTUMIA NGUMI??


zittobudget.jpg


8D6U2582-Rais_AU3.jpg
 
Wanataka amani ili Mzee APUMZIKE vizuri................

Bartlett%20with%20Jakaya%20Mrisho%20Kikwete%20and%20wife%20at%20Mystic%20Mountain.jpg


Mtu akileta za kuleta basi atakiona:

images
 
Naona hapa picha zinaongea zenyewe...............

Huyu mwehu aliyeanzisha hii thread, naona anajaribu kutisha watu na ujinga wake wa kuweka picha za hajabu hapa....hakya Mungu tuko radhi mwaka huu kutoradhi kupigana kutetea haki yetu, msidhani watanzania tunaogopa vita la hasha bora kuishi kwenye nchi yenye vita kuliko hii tz ya leo.
 
Mbona mgombea udiwani wa CHADEMA, Arusha, amepigwa mpaka kapelekwa hospitali, hoi, AKIWA MAHABUSU ya polisi? Ubaya wa CCM hamuuoni? Mnauona wa CHADEMA tu? CHADEMA CHAMA CHA AMANI! Msitukere!
 
Mbona mgombea udiwani wa CHADEMA, Arusha, amepigwa mpaka kapelekwa hospitali, hoi, AKIWA MAHABUSU ya polisi? Ubaya wa CCM hamuuoni? Mnauona wa CHADEMA tu? CHADEMA CHAMA CHA AMANI! Msitukere!

Mtu akikunja ngumi anaashilia nini??

11.jpg
 
STOP, have a time (MC Hammer - I can't touch this).

 
Last edited by a moderator:
CCM mwaka huu hamna chenu, hizo mbinu chafu mlizoanza kufanya huko kigoma za kugawa shahada fake za kupiga kura tumesha washtukia mda sana na sasa tuna deal na nyie.
 
Mtu akikunja ngumi anaashilia nini??

11.jpg

Ngumi ni ishara ya nguvu ya ushindi, wala si ishara ya matumizi ya nguvu... ni Nguvu ya Watu, katika kufanya maamuzi sahihi, KWA AMANI! Ndio maana NEMBO ya CHADEMA ina alama ya VEMA (Vidole Viwili), ambayo ni ALAMA YA KIMATAIFA ya AMANI!

Haya, leta hoja nyingine, nitaipiku!

(Mtu akinyanyua silaha na kukulenga nayo, huyo amedhamiria kuchafua amani!)
 
Hawa chadema ni kawaida yao kutamba kila uchaguzi unapokuja oo nguvu ya umma, mwaka 2005 walikuwa na kauli mbiu hatulalali mpaka kieleweke!! Haya mbona mlilala baada ya hapo mpaka mkakoroma maana siku ile alipoapishwa kikwete mbona mbowe alihudhuria hafla hiyo? Kilieleweka nini? Kama mulikuwa na nguvu ya umma mbona hamkuungana na cuf ktk kuutumia umma ule kutomtambua kikwete? Au kuna kamchezo kalichezwa hapo(ufisadi)????

Mwaka huu mumekuja na peples power tena haya yetu macho ila ninavyo wajuwa chadema baada ya matokeo kama viongozi wenu hawatacheza mchezo mchafu basi musije mukadai mumeibiwa kura!!! Kwani wenzenu cuf walipokuwa wakichezewa hivyo simulikuwa mukiwakodolea macho eee!!

WANAOHUDHURIA MIKUTANO YA CHADEMA KAMA KAWAIDA YAO HUWA WANAMSIKIZA MGOMBEA WA CHAMA HICHO LAKINI SIKU YA UCHAGUZI WANAJUWA NANI WA KUMPA AU SIYO? NA KUNA WATU WENGI WANAOHUDHURIA MIKUTANO YA KAMPENI HASA YA WAPINZANI LAKINI UKIHESABU WALIOJIANDIKISHA UTAKUTA NI 20% PEKE YAKE!!!!

Mwaka huu ni sisi hatutalala mpaka kikwete amalizie miaka yake mitano!!!
 
Back
Top Bottom