People living around Mt. Kilimanjaro

There is no chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics:

WAROMBO:kazi mtindo mmoja! Wanawake tunawaita KUBOTA aina ya matrekta yaliyosambazwa Kilimanjaro na wajapani,watafutaji wa pesa!!!! We acha tuu,lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia kenya.

Hapo kwa Warombo umenikumbusha mbali sana, nilibahatika kuishi huko kwao kwa miaka takribani minne hivi, sifa yao moja ni kwamba ni wakarimu na wachamungu sana kwakweli sijawapatia mfano wao, wanawake wa kirombo wanalima kama trekta wakati waume zao wanashinda kwenye mbege tu, hawa ni wakulima wazuri sana lakini wakati wa ukame wao ndio wakwanza kulia njaa.
 
ignore list...continua

Hehehehehe na ukiniweka kwenye hiyo list naathirika kivipi? Unaandika vitu hapa ukiombwa ushahidi unaingia mitini. Ngoja huyo mchaga mwenzio ayasome haya unayoyaandika huku halafu aamue kukutosa ndiyo utaonja chungu ya jiwe.
 
bahati nzuri yumo humu humu na kasoma yote na kaelewa.....need I say more!!
 
Aiseee babaaanguee...umeanzisa fita sioee..
Mi ntakusupiria hapa Sango rodi..huko Ulara ufiki aisee!
Lulekupaaeee...mpaka uimbe wimbo wa kwanza!
Ambuya ulao isembo.

Nitapita njia sile za uchocho ...uchoroni kweli alawa! Utaona fumbi tu! teh teh teh
 
There is no chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics:

WASIHA: they are too backward,hawakwenda shule bado wanavuta ugoro kama wamasai,wanaume wanatahiriwa nusu!! Chaa achana nao.

WAMACHAME:huwezi kujua nani mwanamke na nani mwanaume,kila kitu ni pesa.yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakua hivi,’kama huto pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu’basi kule Machame chakula cha ndoa(mapenzi) ni kwa kipimo,ukiwa katikati mama anakwambia stoooop! Hapo shilingi hamsini zako ndio zimekwisha,ukitaka ongeza uendelee.

WAKIBOSHO:specialized bandits,akina mama wakiwa wanatoa soga na mwenzie utawasikia hivi” yaani dadangu we acha Alex wangu siku hisi amepefuka kweli,ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi ameunda kundi lake la ujambasi,krismasi ikifika lazima nitaletewa fitenge fya kongo” ladies likewise AKIOLEWA NA KYASAKA baba na mama wanamwambia hivi” hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako? Leta hizo pesa sake tujenge huku kwetu manka”!!

WAURU:very boring people,wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuu,masomo,digrii yaani Yukon not bilivu!Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake,ona hand writing yangu ilivyo nzuri wakati nafundishwa na father Wilson payatt.wanakumbuka majina ya walimu wao hasa wazungu tangu chekechea.wanamwogopa sana Mungu,kengele ya Kanisani ikilia saa sita utawaona wazee wote kilabuni wanasimama na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.

WA OLD MOSHI:actually Mama Mkapa ni beauty queen kule kwao.yaani mimi sisemi nenda kachague wewe mwenyewe.wanaume ni wabishi balaa1 wanakunywa kisusio cha Nguruwe!! Na Gongo nyingiiiiiiiiii!

WAMARANGU:wanaume wote ni waongo.actually kuna somo la jinsi ya kudanganya shule zote za primary kule Marangu.both wanaume na wanawake maisha ni raha tupu.kwa Mmarangu halisi,kwanza ananunua gari,anachapa maisha,nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.

WAROMBO:kazi mtindo mmoja! Wanawake tunawaita KUBOTA aina ya matrekta yaliyosambazwa Kilimanjaro na wajapani,watafutaji wa pesa!!!! We acha tuu,lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia kenya.

Kirua Vunjo : WanaKV.....Wanaume wanaotoka eno hili ni walevi na wezi sana!! na wanawake wao hawajui kabisa mapenzi, wanaweza kuwa katikati ya mechi ukiwaambiwa wewe Lyimo ebu malisa haraka hii kitu inawesa chakaaa ebooo unafikiri hii ni mpira !

Mkuu,nitake radhi!
 
Huu kweli ni uchunguzi wa kina,lakini kuna suala la ushirikina kwa kina mama kuua waume zao wenye pesa ili walisi mali.je hili nalo linaangukia wapi?
 
Hehehehehe na ukiniweka kwenye hiyo list naathirika kivipi? Unaandika vitu hapa ukiombwa ushahidi unaingia mitini. Ngoja huyo mchaga mwenzio ayasome haya unayoyaandika huku halafu aamue kukutosa ndiyo utaonja chungu ya jiwe.

Watu hawachukulii maisha serious au magumu namna hiyo mkuu.
 
bahati nzuri yumo humu humu na kasoma yote na kaelewa.....need I say more!!

Labda hakutoshelezi ndiyo maana kaelewa, ingekuwa ni mwanaume rijali wala usingehangaika na vijamaa vyako vinavyoishia kuomba maji huku ukisema na huyu naye? Angekuwa rijali uliyoyaandika hapa naye kuyasoma basi yangetosha kabisa kukutosa.
 
wewe nahisi ni mkazi wa kwa mtogole si bure
 
Back
Top Bottom