People living around Mt. Kilimanjaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

People living around Mt. Kilimanjaro

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masanilo, Mar 10, 2010.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  There is no chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics:

  WASIHA
  : they are too backward,hawakwenda shule bado wanavuta ugoro kama wamasai,wanaume wanatahiriwa nusu!! Chaa achana nao.

  WAMACHAME:huwezi kujua nani mwanamke na nani mwanaume,kila kitu ni pesa.yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakua hivi,'kama huto pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu'basi kule Machame chakula cha ndoa(mapenzi) ni kwa kipimo,ukiwa katikati mama anakwambia stoooop! Hapo shilingi hamsini zako ndio zimekwisha,ukitaka ongeza uendelee.

  WAKIBOSHO
  :specialized bandits,akina mama wakiwa wanatoa soga na mwenzie utawasikia hivi" yaani dadangu we acha Alex wangu siku hisi amepefuka kweli,ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi ameunda kundi lake la ujambasi,krismasi ikifika lazima nitaletewa fitenge fya kongo" ladies likewise AKIOLEWA NA KYASAKA baba na mama wanamwambia hivi" hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako? Leta hizo pesa sake tujenge huku kwetu manka"!!

  WAURU
  :very boring people,wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuu,masomo,digrii yaani Yukon not bilivu!Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake,ona hand writing yangu ilivyo nzuri wakati nafundishwa na father Wilson payatt.wanakumbuka majina ya walimu wao hasa wazungu tangu chekechea.wanamwogopa sana Mungu,kengele ya Kanisani ikilia saa sita utawaona wazee wote kilabuni wanasimama na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.

  WA OLD MOSHI:actually Mama Mkapa ni beauty queen kule kwao.yaani mimi sisemi nenda kachague wewe mwenyewe.wanaume ni wabishi balaa1 wanakunywa kisusio cha Nguruwe!! Na Gongo nyingiiiiiiiiii!

  WAMARANGU
  :wanaume wote ni waongo.actually kuna somo la jinsi ya kudanganya shule zote za primary kule Marangu.both wanaume na wanawake maisha ni raha tupu.kwa Mmarangu halisi,kwanza ananunua gari,anachapa maisha,nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.

  WAROMBO:kazi mtindo mmoja! Wanawake tunawaita KUBOTA aina ya matrekta yaliyosambazwa Kilimanjaro na wajapani,watafutaji wa pesa!!!! We acha tuu,lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia kenya.

  Kirua Vunjo : WanaKV.....Wanaume wanaotoka eno hili ni walevi na wezi sana!! na wanawake wao hawajui kabisa mapenzi, wanaweza kuwa katikati ya mechi ukiwaambiwa wewe Lyimo ebu malisa haraka hii kitu inawesa chakaaa ebooo unafikiri hii ni mpira !
   
 2. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Masanilo......umesahau Wakirua Vunjo maarufu kama wa KV hebu tupe dondoo zao
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimeongesea msee!
   
 4. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  ha ha Mkuu masanilo hii kali hasa hawa wamachame umeniacha hooi
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  sidhani....
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Watokea huko?
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ni shemeji yako na mbona hakunidanganya?
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Umejuaje hajakudanganya mpaka sasa! LoL
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  namaanisha ni mume wangu ndio ametokea huko na hakuwahi kunidanganya
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Umejuaje? swali bado lipo
   
 11. JS

  JS JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Masanilo mbona unakuwa mchokozi lakini wewe kijana eeee??? hebu niambie
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahahaah hakuna uchokosi hapo wala nini Yesu na mamake Maria, na babake Yusufu (lafudhi ya kichagga)
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  najua kwa sababu namjua vizuri
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  utani mwingine huu Masa.......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  Mkulu Masanilo naona apo umetupa mawe gizani hebu tusubiri uone moto wake hapa.....
   
 16. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Hivi Kishumundu iko URU? Ila hapo kwa wa Uru kuna ukweli. Nina dada mmoja rafiki yangu, ana sifa zote hizo! Au mwangalie Reginald Mengi...........!!!
   
 17. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Hivi wenye sifa ya kuua waume zao ni Warombo au Wamachame?
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Shemeji yetu ni mtaalamu sana huwezi jua kama amekudanganya! amefulu huyo
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kule ulala Machame! Karibu na Sokoni balaaaaa
   
 20. bht

  bht JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  machame

  ahaaaaa bana palestina palestina tu.......
   
Loading...