20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
Aisee ukweza kuielezea hii kwa ufasaha, we mjanja!
cc Tee Bag, miss neddy, merengo90, Mr. rocky, Asprin na wengineo
Ukishindwa pia poa like inatoshaa!!
![]()
Kwa haraka haraka, hii picha imetengenezwa, ukicheki kivuli cha chini ni wazi kuwa ni kivuli cha mlingoti wa bendera ambao hauonekani kwa picha, upo nyuma ya mpiga picha. Huyu mwanamke kutokana na jua lilivyo kivuli kingeonekan kwa upande wake kulia, otherwise kama wangetaka kutuaminisha kuwa jua lilikuw la utosi basi kivuli kingekuwa chini na tena cha pemben 4 nadhani unaelewa hapo
Last edited by a moderator: