Penzi lililoisha kwa amani halifi hata siku moja!

Penzi lililoisha kwa amani halifi hata siku moja!

Uzoefu wako unashabihiana na hali halisi.
Juzi tu bibi harusi mtarajiwa kakutwa na sms kwenye simu yake
"....Inabidi nije nilale hapo kwako tuagane kabisa maana huyu ndezi atakuwa ananilinda sana. Labda tukutane mara moja kwa mwezi...."
Kina kisa kibaya kwa wahusika bila kinachekesha.Tulishuhudia Tabata. Bibi harusi naomba kaenda toilets. Matron kamsindikiza baada ya mda akatakiws ukumbini haonekani Matron akawaonesha room ya toilet jamaa wakaita kimya.Kuvunja wakakuta miguu inaishia kutoka mle kuelekea upande wa wanaume. Kuulizwa Amalia mhusiks nae ni Mgeni mwalikwa na aliwahi kutoka SMS zake zilikua zinamhimiza Stoke wakaagane fasta kumbe ni ex, Kwaiyo ukimuudhi wife ma x wanamaliza
 
Habari ndugu zangu,

Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa penzi lililoisha kwa amani aidha kwa kuachanishwa na mazingira au sababu nyingine yoyote huwa haliishi. Akitokea mmoja kugusia tu , ishu inaanza upya.

Kinachohitajika ni busara tu za wahusika, mmoja akikomaa tu 'kinanuka' upya!
yeah!!! 100% uzi umekaa poa na unaeleweka mno. True hilo penzi halifi hata kdogo. Big up saana mleta mada
 
mkuu hata kama halikuisha kwa amani, hasira zikiisha tu baada ya muda kipindi unakula tunda kiulaini kabisa
 
Habari ndugu zangu,

Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa penzi lililoisha kwa amani aidha kwa kuachanishwa na mazingira au sababu nyingine yoyote huwa haliishi. Akitokea mmoja kugusia tu , ishu inaanza upya.

Kinachohitajika ni busara tu za wahusika, mmoja akikomaa tu 'kinanuka' upya!
Hiyo nisawa na kutumia mua kama fimbo ya kutembelea jangwa huku ukiji sahaulisha kwamba njaa itakapo kushika lazima uule
 
Back
Top Bottom