Penzi lililoisha kwa amani halifi hata siku moja!

Ndio Maana Ex-gf wangu cku hizi kila cku haishi kunipigia cm...
Nadhani bado hajalipata lishkaji la kumsugua kama mie... Amemiss DUSHE langu, MKURUNGU wangu, ukuni wangu....
Niko juu... Kama kichuguu...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Usikute ni kibamia
 
Habari ndugu zangu,

Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa penzi lililoisha kwa amani aidha kwa kuachanishwa na mazingira au sababu nyingine yoyote huwa haliishi. Akitokea mmoja kugusia tu , ishu inaanza upya.

Kinachohitajika ni busara tu za wahusika, mmoja akikomaa tu 'kinanuka' upya!
Mi kwangu hakuna tukiachana ndo kwanza na delete kbs no ya uyo mtu nkikutana na ww hi nmepita huwa sutaki kbs kurudi huko naona km najishushia heshima yangu na uyo mtu atanidharau.. Mi sipashi ngoooo bora nianze upya kwa mwingine.
Yaani hata km hakuna mazingira ya kuwagombanisha inabidi utengeneze zengwe tu kwa usalama wenu na moyoni unakuwa unajua si kwa ubaya
 
Kama ulienda Rwanda kikazi unarudi mnakutana mlimani city unampita tu anakustua unamuona unspita tu not real
 
Habari ndugu zangu,

Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa penzi lililoisha kwa amani aidha kwa kuachanishwa na mazingira au sababu nyingine yoyote huwa haliishi. Akitokea mmoja kugusia tu , ishu inaanza upya.

Kinachohitajika ni busara tu za wahusika, mmoja akikomaa tu 'kinanuka' upya!
Very true
 
Mi kwangu hakuna tukiachana ndo kwanza na delete kbs no ya uyo mtu nkikutana na ww hi nmepita huwa sutaki kbs kurudi huko naona km najishushia heshima yangu na uyo mtu atanidharau.. Mi sipashi ngoooo bora nianze upya kwa mwingine.
Hivi hujui kuwa kila mtu ana utamu wake?Kwa kawaida kikipita kipindi fulani hisia juu ya ex wako mliyeachana kwa amani zinaweza kujijenga upya.Kunakuwa na internal na external factors.Mfano kama mwenzi wako mpya atakuwa na mapungufu uwanjani.
 
Kweli kabisa ila ilitaka kunigharimu kwenye ndoa yangu maana yule mwanamke tuliachana kwa sababu ya mazingira so nilivyorudi tu Dar si nikakutana naye tena , Tukakumbushiana na michezo sasa si akanogewa .

Nilivyoona vile ikabidi nimzingue kwa vitisho vikali mpaka leo hata tukikutana wawli hatusalimiani kudadeki .

Sipendagi ujinga kabisa
aisee.. Hatari sana.. Salute mkuu
 
force of attraction huwa haifi kushinda nguvu hii yahitaji moyo sana
 
Habari ndugu zangu,

Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa penzi lililoisha kwa amani aidha kwa kuachanishwa na mazingira au sababu nyingine yoyote huwa haliishi. Akitokea mmoja kugusia tu , ishu inaanza upya.

Kinachohitajika ni busara tu za wahusika, mmoja akikomaa tu 'kinanuka' upya!
Totaly true
 
Hata waliogombana Mkuu, hasa kama wote walipendana sana.

Habari ndugu zangu,

Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa penzi lililoisha kwa amani aidha kwa kuachanishwa na mazingira au sababu nyingine yoyote huwa haliishi. Akitokea mmoja kugusia tu , ishu inaanza upya.

Kinachohitajika ni busara tu za wahusika, mmoja akikomaa tu 'kinanuka' upya!
 
Ndio maana watu hukumbuka wa zamani badala ya kuwaza wapya has a umri unsvyoenda MTU hujistukia kuanza uhusiano mpya na watu wapya kabisa. Kina mama huwawia ngumu zaidi lsbda kwa kutaka mabuzi sio mapenzi
 
Uzoefu wako unashabihiana na hali halisi.
Juzi tu bibi harusi mtarajiwa kakutwa na sms kwenye simu yake
"....Inabidi nije nilale hapo kwako tuagane kabisa maana huyu ndezi atakuwa ananilinda sana. Labda tukutane mara moja kwa mwezi...."
 
Si kweli, inategemea mtu na mtu. Kuna mmoja enzi hizo chuo tuliachana kwa amani nikaja kukutana naye maisha yamemkubali akaleta hizo falsafa.....aliangukia pua.

Nikisha move on wala usijisumbue.
 
Alikua hakukuni vizuri sasa ukiwaza tena kwenda kupakwa shombo unapotezea
 
Back
Top Bottom