Penzi lililoisha kwa amani halifi hata siku moja!

Penzi lililoisha kwa amani halifi hata siku moja!

Mpenzi wangu Geniveros sijui kafichwa wapi jamani
 
nini maana ya kuachana

nyinyi ndo mnasababisha ndoa za watu kuharibika mnafaa mkatwe kichwa ya yale matunguri mawili yanayoning'inia kama pendulum
Ni wewe au Kuna mtu kakuandikia
 
Habari ndugu zangu,

Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa penzi lililoisha kwa amani aidha kwa kuachanishwa na mazingira au sababu nyingine yoyote huwa haliishi. Akitokea mmoja kugusia tu , ishu inaanza upya.

Kinachohitajika ni busara tu za wahusika, mmoja akikomaa tu 'kinanuka' upya!
Mmh kwel asee!!!!my ex gf bado mmh japo nipo kwenye ndoa lakn cku tukikutana sijui kama ndoa itasalimika
 
Ukweli 100%. Halafu wakati mwingine kama hujapata mtu unaempenda kwa dhati halafu ukapata ashki ni bora urudi kwa yule anakukuna vizuri kuliko kuongeza idadi ya wapenzi msio na future.
 
Yaani ni kweli kabisa.Sometimes unaweza kupotezea lakini ukakuta ex wako yuko kwenye uhitaji wa hali ya juu hadi ukajiuliza uko alipo kunani?
 
Sasa mliachana ili iweje kwa mfano?
Mara nyingi ni mazingira ie umbali kati ya wenzi.Ama wazazi wanaingilia mahusiano ya watoto wao kwasababu za kidini au kabila wakati watoto wanapendana.Tena nikupe siri;penzi hili huwa tamu sana.Tena halina gharama.Gharama pekee ni muda tu.Tena hata ukiwa huna kitu anaweza kubanabana bajeti ya mmewe akakupa wewe.
 
Ndio Maana Ex-gf wangu cku hizi kila cku haishi kunipigia cm...
Nadhani bado hajalipata lishkaji la kumsugua kama mie... Amemiss DUSHE langu, MKURUNGU wangu, ukuni wangu....
Niko juu... Kama kichuguu...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Jifariji mwaya, huyo kamiss hela zako
 
Ndio Maana Ex-gf wangu cku hizi kila cku haishi kunipigia cm...
Nadhani bado hajalipata lishkaji la kumsugua kama mie... Amemiss DUSHE langu, MKURUNGU wangu, ukuni wangu....
Niko juu... Kama kichuguu...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Wewe kwa kujisifia sifia, utakuwa na psychological condition Fulani kama aliyowahi kuipata Kanye West
 
nini maana ya kuachana

nyinyi ndo mnasababisha ndoa za watu kuharibika mnafaa mkatwe kichwa ya yale matunguri mawili yanayoning'inia kama pendulum
Yes, them balls kwa kizungu
 
Back
Top Bottom