Penzi lililoisha kwa amani halifi hata siku moja!

Hebu funguka kidogo mkuu kwa kutupatia uzoefu wako uliokwisha pitia kwa issue hii.
 
Habari ndugu zangu,

Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa penzi lililoisha kwa amani aidha kwa kuachanishwa na mazingira au sababu nyingine yoyote huwa haliishi. Akitokea mmoja kugusia tu , ishu inaanza upya.

Kinachohitajika ni busara tu za wahusika, mmoja akikomaa tu 'kinanuka' upya!
Ndio maana vibuti vyangu vyote siku hizi huwa ni soft vibuti...
 
Kweli kabisa ila ilitaka kunigharimu kwenye ndoa yangu maana yule mwanamke tuliachana kwa sababu ya mazingira so nilivyorudi tu Dar si nikakutana naye tena , Tukakumbushiana na michezo sasa si akanogewa .

Nilivyoona vile ikabidi nimzingue kwa vitisho vikali mpaka leo hata tukikutana wawli hatusalimiani kudadeki .

Sipendagi ujinga kabisa
 
Habari ndugu zangu,

Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa penzi lililoisha kwa amani aidha kwa kuachanishwa na mazingira au sababu nyingine yoyote huwa haliishi. Akitokea mmoja kugusia tu , ishu inaanza upya.

Kinachohitajika ni busara tu za wahusika, mmoja akikomaa tu 'kinanuka' upya!
Hata lililoisha kwa vurugu, nalo linahitaji kiki ndogo sana inategemea tu na mazingira... Embu fikiria, umeachana na mpenzi wako huko Tukuyu.. Unatia timu USA, unakutana naye kitaa UNADHANI MTACHUNIANA?
 
Kweli kabisa ila ilitaka kunigharimu kwenye ndoa yangu maana yule mwanamke tuliachana kwa sababu ya mazingira so nilivyorudi tu Dar si nikakutana naye tena , Tukakumbushiana na michezo sasa si akanogewa .

Nilivyoona vile ikabidi nimzingue kwa vitisho vikali mpaka leo hata tukikutana wawli hatusalimiani kudadeki .

Sipendagi ujinga kabisa
Eeh wakati mwingine kuachana kwa amani kunakorofisha bora kukinukisha
 
Back
Top Bottom