Penzi la mtandaoni

Ndo mapenzi ya siku hizi, eti inapendwa pochi mengine mnavumiliana.


"Never hate the game..change the game"

umeona eh,kw situation km yake,mi tabia zake ntazijuaje,weka salary slip au bank balance,and we will take it from ther...hahaha,lol
 

duh Malafyale umeongea kwa uzuri sana ........BIG UP nilikuwa nafatilia comments zako tu hum
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umeandika kwa uchungu duh!
 
tatizo amezeeka sana hadi anatoa mvuke...nani akae eda mapema hivo!pesa sio maisha
mwambieni atumie ant ageing pills

Smile... Lol umeniacha hoi jamani punguzeni comments mtavunja mbavu !!
 
hahaha gals leave this guy alone jamani.....

sasa mi nikiweka picha yangu si mtakimbia? Sema wake zangu hawawezi kuruhusu
 
Mi naogopa hata kurusha picha yangu maaana unaweza pondwaa humu mpaka ukajiuaa,ntajitoa kimasomaso siku moja
 
fundi juma kashona vibaya..me i like my man in black suit ...hizi za kijani na damu ya mzee mi sipendi

Ha ha... Smile umetugusa hapa..me and lara 1 can make an ugly man shine in a blak suit..embu tutafute mara moya
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi ya mtandaoni ya uongoooo mmxiiuuu sitaki kusikia ila nashauri kama mnapenda humu mtandaoni shart,
hakuna kupeana no za simu ni PM tu mwanzo mwisho na wala hakuna ile mnasema kuweka picha hapo itakuwa poa maana humu unaweza kulikoroga vibaya ukashindwa kulinywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…