white girl
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,361
- 401
Huyu anayejiita watu8 kaandika kitu ambacho kusema kweli waweza jiuliza, is this a real man? Wanawake huwa ndio husema na kuandika vijineno kama hivi...
Hebu muwaaache kuna mda watu tuna burudika banaaa
u never know,we're in digital era....
hahahaha! Loh! Huyo ni mdogo wake pinda humuoni?
halafu sipendi suti za kushona mimi ..mwambie bwana
DEMBA mtu akisema hii ndiyo picha yake acha tuamini kama ni picha yake!Hata ww leo uweke picha ya Ray C na kutuambia ni yako mm nitaamini kama ni yako!mmmh Malafyale umejuaje kama hiyo ni pic yake halisi? au mnafahamiana?
DEMBA mtu akisema hii ndiyo picha yake acha tuamini kama ni picha yake!Hata ww leo uweke picha ya Ray C na kutuambia ni yako mm nitaamini kama ni yako!
Mbona juzi tumewekewa picha ya Mspaniola anayepiga kiswahili fasaha zaidi hata ya Mndengereko;Nani alibisha?Tulimsifia bila kukashifu lolote!
You get me DEMBA;tusikataze challenges lkn ziwe constructives sio kama hizi
halafu sipendi suti za kushona mimi ..mwambie bwana
umesomeka.........................ila dont take jf comments seriously...... humu wengine tunajitolea stress tu.
Huyu lazima atakua mtu kutoka Afrika Magharibi
Heshimu na ww uheshimiwe pls!
Pinda ni mzazi kama alivyo baba yako na kibaya zaidi mtoto wake 1 nina uhakika asilimia zote ni mwana member JF;atajisikiaje akisoma comment yako kuhusu mzazi wake?
Kama ww ni mzuri shukuru Mungu hamna haja ya kudharau mnao waona nyie wabaya!Hii ni moja kati ya sred nzuri MMU iliyopata wachangiaji wa hovyo hovyo!
Mhh username yako inatisha,badilisha kwanza,thn weka detailed cv including latest salary slip....haha
Amesema hataki anayependa raha,sijui kuna anayependa karaha?
mkuu weka picha nyingine, safari hii piga pembeni ya gari & haijarishi kama ni la jirani & shika atm card kadhaa mkono wa kushoto wa kulia noti nyekundu kadhaa. Utawapata tu.
(Usisahau kutabasamu )