penzi la mfumuko wa bei

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
11,064
7,195
hii imenishangaza sana
mdada mmoja kwenye kipindi cha wanawake live amesema eti wadada wengi siku hizi wanajiingiza kwenye mapenzi sio kwa sababu wanawapenda sana wanaume bali ni kutokana na mfumuko wa bei unaondelea hapa nchini
eti wanawake wako tiyari kuishi na mwanaume asiyempenda ilimradi anamuwezesha kifedha
amekwenda mbali zaidi kwamba mfumuko huu wa bei za vitu ndio unaopelekea ndoa za fashion..
Wadada na wamama ya kweli haya?
 
halafu tutaambiwa na kupanda kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia na kuwepo kwa maharamia wa kisomali kwenye pwani ya africa mashariki teh teh teh!
 
hii imenishangaza sana
mdada mmoja kwenye kipindi cha wanawake live amesema eti wadada wengi siku hizi wanajiingiza kwenye mapenzi sio kwa sababu wanawapenda sana wanaume bali ni kutokana na mfumuko wa bei unaondelea hapa nchini
eti wanawake wako tiyari kuishi na mwanaume asiyempenda ilimradi anamuwezesha kifedha
amekwenda mbali zaidi kwamba mfumuko huu wa bei za vitu ndio unaopelekea ndoa za fashion..
Wadada na wamama ya kweli haya?

mi si mmama si mdada,,,ni mkaka,,,,,ndo wamwaga umateumate,ila mashart yamenshinda
 
Mi nadhani angesema wapenzi wengi wamemwagana kwa sababu ya mfumuko wa bei,!!? watoto wa kike wengi kwa sasa ukimtongoza leo atakuvumilia siku moja inayofuata lazima akupige mzinga
 
Ucheleweshaji wa booms vyuoni unaotokana na ufisadi umesababisha kina dada na kina kaka kutafuta ma sukari mama na baba!

Mfumuko wa bei while mshahara kidogo pia kuchangia wadada na wakaka kutafuta watakao wasaidia maisha!

Mbona simple tu.
 
na marioo pia kibao,mbona mmewasahau??? au hamuonu hapo juu love conect yakitafuta mashuga mami ya kuwalea?:boxing::boxing:
 
Mi nadhani angesema wapenzi wengi wamemwagana kwa sababu ya mfumuko wa bei,!!? watoto wa kike wengi kwa sasa ukimtongoza leo atakuvumilia siku moja inayofuata lazima akupige mzinga

yeye anadai mfumuko wa bei unasababisha wanawake wajirahishe au wawagande kama kupe wanaume wenye kipato
 
Kujiendekeza tu.................
Kwani huo mfumuko wa bei hauwahusu wanaume, au wanawake wamekatwa mikono na hawawezi kufanya kazi..........!
Visingizio vingine havina hata kichwa wala miguu............
 
Huyo dada ni wa utamu sababu amesema yale aliyoya ona ktk Tanzania hii sasa.ila poleni wakina mama kwa kujiingiza kwenye ndoa za fashion.
 
Kujiendekeza tu.................
Kwani huo mfumuko wa bei hauwahusu wanaume, au wanawake wamekatwa mikono na hawawezi kufanya kazi..........!
Visingizio vingine havina hata kichwa wala miguu............

mzee mtambuzi lakini tuliambiwa hawa ni dhaifu na tuwapende
 
mimi kama sikupendi sikupendi; na siwezi kujilazimisha kuwa na mtu eti tu sababu ana hela, my happiness is very important kwenye mapenzi kuliko chochote. to hell with his monies...............
 
Kujiendekeza tu.................
Kwani huo mfumuko wa bei hauwahusu wanaume, au wanawake wamekatwa mikono na hawawezi kufanya kazi..........!
Visingizio vingine havina hata kichwa wala miguu............
nashangaaaaaaaaa, yaani nina akili, mikono, miguu n.k, halafu nikae na limtu silipendi kisa hela zake, lol!
 
Back
Top Bottom