Penzi la mapacha lanitatiza

Wanaume wa dar, umetongozwa na demu unakuja kuhadisia... kama unakula kula acha maneno meng
 
Ila angalia isije ikawa Ni yeye hajasafiri anakutega.
 
Yaani mkuu....!! My twin sister ampende shemejie? Na shemejie pia akose sababu za kumkataa...amaa kweli dunia hadaa ulimwengi shujaa.[emoji15]
Pacha kanitongoza sababu ya kumkataa nashindwa ni jambo zito sana mkuu napitia
 
Ni pale utakapogundua aliyeenda Nairobi ni shemeji yako na huyo anaekulazimisha uumle ndio huyohuyo girlfriend wako wa siku zote, ameamua kukutega tu. Hapo ndio utajua kwanini chato ilistahili traffic lights.
 
Iyo mbona itakuwa kali ya mwaka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…