Penzi la mapacha lanitatiza

Ukipiga tu unakuta ndo mwenyewe yule alosema toa kampany ndo shem mwenyewe ushawekwa kati hapo isitoshe una wenge lazima upatikane tu labda uokoke upate Mtakatifu wa kulikemea pepo la ngono ndani yako likutoke
 
Kiroba,ningekuwekea picha ila daah usijepumzishwa tena na wale viranja wa humu
Ah mi nikadhani umepaliwa na mate. Ningekuja kukusaidia kuyanyonya. Mi na mate yako ni sawa na uji na mgonjwa.

Wakinipumzisha nahamia kwenye magrupu ya wozap...
 
Acha tamaa..yaani umeshatamani ndio umekuja kuomba ushauri..embu yashinde majaribu mkuu!unaweza kuta unapimwa akili?!!???
Hilo jambo ndo nalitafakar sana la kupimwa maana Shemeji anakuja mpaka nyumban
 
Ukipiga tu unakuta ndo mwenyewe yule alosema toa kampany ndo shem mwenyewe ushawekwa kati hapo isitoshe una wenge lazima upatikane tu labda uokoke upate Mtakatifu wa kulikemea pepo la ngono ndani yako likutoke
Kweli mkuu mapacha wasikie tu, naona kama mawenge maana wanafanana balaa
 
Sawa kura mzigo mkuu lakini ukumbuke leokwako kesho kwa wenzio jaza ujazwe
 
Hahahahaa njoo tu upate kakiroba si utakavuta kwa njia ile ile ya mate

Hayo hao magrup yanakufaa yaan utageuka kungwi wa kiume na kuwadaka wa kutosha usisahau kuwaleta huku kifungo kikiisha
Ah mi nikadhani umepaliwa na mate. Ningekuja kukusaidia kuyanyonya. Mi na mate yako ni sawa na uji na mgonjwa.

Wakinipumzisha nahamia kwenye magrupu ya wozap...
 
Reactions: BAK
Wamefanana hadi unashindwa kumkataa? Duu pacha wangu hawezi Fanya hayo labda yupange dili.
 
Mara nyingi huwa wanashare hawa watu, kwa nature yao mmoja akipenda automatically na mwingine atazimika pale pale. Na hilo wanalijua, uamuz mikononi mwako lakini.
Yaani mkuu....!! My twin sister ampende shemejie? Na shemejie pia akose sababu za kumkataa...amaa kweli dunia hadaa ulimwengi shujaa.[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…