Mkuu swala ni yeye ananitaka na anasema anafanya kila njia mimi nikae kwenye mstari wake
Nipe experience yako mkuu ulifanyajeWana majaribu hawa...sitaki hata kukumbuka walivyonitenda mapacha..acha kabisa
Mimi mwenyewe siwezi simulia kwa masela, naongea humu kwa sababu hatujuani tuWaliokumbana na hiyo kitu hawasimulii!
Hiyo ni stori ya kutungwa tu.
Nashukuru nimeelewa ushauri wako mkuuVijana wa dar bana, Sasa wewe ni muoaji kweli au ndio bado unaweweseka na slogan ya Hit & run...
Acha ujinga kijana hebu kua na malengo mazuri na mikakati thabiti ya maisha yako.....
Kutegwa mkuu, unaweza kuwa mchezo umepangwa ila sidhani maana pacha yuko serious sanaHapo kama hujajua vizuri unategwa!! kuwa makini
Sababu ya mashiko ipo ya kukufanya umkatae si kwa sababu ni mbaya au kapungukiwa chochote ila ni kwa sababu ni shemeji yako. Huwezi kutoka na shemeji yako hata kama wanafanana, jaribu kutawala mihemko yako uweze kuishi kwa amani na furaha katika mahusiano yako na mwenzi wako, ndugu na jamii kwa ujumla.Yeye ndo ananitaka na sababu za kumkataa hazina mashiko kwa sababu wanafanana kila kitu
Haaa, bado unasubiri labda kama hukuelewa alposema utoe kampani alimaanisha nini. Hao ndo zao, sure am telling.Ko niunge tu mkuu
Nashukuru mkuu ntalifanyia kazi hilo swala,Haaa, bado unasubiri labda kama hukuelewa alposema utoe kampani alimaanisha nini. Hao ndo zao, sure am telling.
Sio rahisi mzee kwa dunia ya sasa hayo mambo yakafanyikaTafuna wote,kisha tia mimba wote, na mwisho wa siku funga nao ndoa wote.
Mwisho wa kunukuu.
Kwani yeye treni?Acha hizo wewe unajitafutia matatizo tu. Tulia njia kuu
OkSio rahisi mzee kwa dunia ya sasa hayo mambo yakafanyika