Penzi la huyu dada linanitia kiwewe


Na siku zote penzi la wizi ni tamu kuliko maelezo ndio maana Kibonde anasema michepuko sio dili baki kwa mkeo.

Mke wakukutana nae mwisho wa mwezi huwezijua mapungufu yake maana akili yako ushajipanga kupagawishwa hata chongo utasem si chongo ni kengeza ..... Akili kumkichwa kwako kaka
 

thanx mkubwa
 
Yamemwagika kuzoleka haiwezekani! kamwngukie mkeo tubu mbele yake na mbele za MUNGU kungali mapema bado, subiri mtto azaliwe ulee damu yako ....kuwa busy na familia yako kumrudishia mkeo amani na aweze kukuamini tena......Maumivu ni makubwa lakini hakuna kinachoshindikana!!!
 
Na mchepuko atajitahidi kila manjonjo ili umuone makaila uone kiza kurudi kwa mkeo kwani hata tigo si mwala kwa michepuko yan mie wala sikupi pole wala ushauri nyooo
 
Na mchepuko atajitahidi kila manjonjo ili umuone makaila uone kiza kurudi kwa mkeo kwani hata tigo si mwala kwa michepuko yan mie wala sikupi pole wala ushauri nyooo

asnte mkuu ila ushanipa maujanja mengine,kuhusu kupewa tigo ili nikamatwe,tigo silagi mkuu,atajikamata mwenyewe
 

asante mkurugenzi kwa ushauri wako
 

aisee leo kazi ninayo......
 
hatima yako na huyo binti unaifahamu na kwa dhati kabisa deep down umeamua kuoa mke wa pili......
 
Mwambie mkeo azisikie hizi habari toka kwako kwanza nasio kwa watu wengine atakasirika sana lakini haitakuwa milele ukweli utakuweka huru .
Mwambie mkeo unakitu unataka kucomfes na kisha subiri reaction yake ni mwanadamu atakasirika lakini mwishoni atataka kukusikiliza umeamua nini wewe kuhusu huo mchepuko wako.
 

kaazi kweli kweli,but thanx kwa ushauri wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…