Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
-
- #101
Sasa ndugu maisha gani unayo Ya sema? Coz kupeana mawazo ktk kutatu matatizo ndiyo maisha yenyewe unathani maisha gani mengine?
Tatizo unalo kua nalo wewe siyo analokuanalo mwenzio na unapo jiona Wewe unatatizo la fedha usidhani na mwezio analo!
Jaribu kuchangia kwa fikra pana zaidi
Huo ujauzitooo ndo umekuleta hapaaa speed kubwa kweliii maaana wakati unapenda na kupendwa ulikuwa unaona utamuuuu weeeeeee. Yan huyo ni wakooo mze ushamupaaa hakuna kumurukaaaa.
Ila sisi wanaume ni wabinafsi sana.
Angekuwa mkeo amefanya hivyo ni taraka na kipigo juu.
wasiwasi wangu ilikuwa kukuona ukija hapa,lakini kwa kuwa umepita kwa amani basi haina mbaya mmachame wangu
Una mapepo wewe kaombewe
hapana napenda amani alafu unajua sipendi upate mawazo na unajua nikisema kitu huta lala acha nipite tu
pole nimeamini shetani ana nguvu sana.
leo nakubali kila mtu anipige jiwe,nimejiandaa kwa hilo.bado valentina ndo sijui itakuwaje
Siyo vizuri umfanyiayo mke wako. Achana na huyo mwanamke wa pembeni, tulia na mke wako, angalia familia yako. Anakupenda labda kwa sababu ya huduma zako na siyo kama ufikiriavyo wewe.
yani hukutumia condom mmmh
basi mama,naomba unywe maji kidogo upunguze hasira.nilianza kutumia kwa miezi miwili ya mwanzo huku tukipima katika miezi hiyo 2.then ndo ikawa hivyo tena.
mmmh kwa hiyo utafanya dhambi ya kuua ?. yani umeona ya uongo na uzinzi haitoshi ukaongeza moja?
Mungu katupa neno zuri sana ya kwamba usilopenda kutendewa usimtendee mwenzio. Vp hapo mkeo ndio angekuwa anakucheat au akafall love kwa mwingine unadhani maisha yangekuwaje kwa upande wako. Ukiamua kuoa lazima fikra yako ibadilike achana na mambo ya kufall love na mademu wengine maana huo ni utoto, wewe hata kama utachepuka lazima uulinde moyo wako usianguke mahali pengine wewe fanya kwa kuridhisha mwili wako tu
Vipi umejiandaa na purukushani ya wife the moment anajua huyo habari ya mchepuko?
Ila hiyo ya kuzaa are you ready for the consequences?? Maana unaanzisha familia nyingine sasa. Mwanamke anaweza akakusamehe endapo atagundua kuwa una mtu mwingine pembeni ila hilo la kuzaa nje napata wasiwasi si wengi wanaweza ku handle hiyo situation.
Anyway all the best bro.
sijawahi kufanya hivyo hata kidogo,nisingependa initokee maishani mwangu.siyo ushauri naoweza kuupokea kabisa
tayari umekwisha its too late u pass the way of no return!
ulichelewa kuomba ushauri pindi tu ulipo anza kumpiga sound..
kifuatacho itv ni kuhamia kwake na kutelekeza familia yako
basi sawa