Penzi la huyu dada linanitia kiwewe


asnte sana mkuu,ushauri wako umenifaa sana koz naupata kutoka kwa mtu aliyepitia situation kama yangu.we ni mwalimu tosha.thanx alot
 


YOu nailed it ALL. Sina la kuongeza.
 


sasa tunakushauri nn hapa
 
Sasa ushauri wa nini mkuu, maana ushaoa tayari, hata condom hutumii unataka kushauriwa nn??Nenda kapime kama mko salama mjengee nyumba, mpatie usafiri ili asipate shida mtaani!Hongera

asante mkuu,karibu tena siku nyingine
 
A gentleman advice.
P'se UWE MWAMINIFU KWA MKE WAKO. Kama unaona kuna hitaji la kuchepuka na mwanamke mwingine, basi jitahidi usiwe na permanent lover and Dont promise any woman. Kumbuka watoto 3 ni serious case km ikitokea umeachana na mke wako. Pls be kind and trustworthy kwa mke wako. Achana na huyo single mom.
 
Nachokiona toka kwako kuwa unasukumwa sana na tamaa ya MOYO wako kuliko kupenda kwa kutumia AKILI.
Ukifuata Moyo utaona uko sawa lakini Ukifuata Akili utajiona umekua mkosefu mkubwa sana kwa Mke wako
 
Saa nyingine w/ume tuwe na huruma na wake zetu tena mama watoto wako, Dada wa watu anaungua jikoni au kukunyooshea nguo akisema Mume wangu aende kazini amependeza kumbe anawapendezeshea watu.
Machozi ya mwanamke yoyote uliyemtenda naamini kama ni laana hivi.
1.Mpende mkeo
2.Mheshimu
3.Mjali
 
nakubaliana na kauli yako mkuu,ila uanaume kazi pia.........

Kakulisha libwata limekukolea mkeo ndo mtamu hata hiyo mimba kakushikia masikio always legal wife ndo anakupenda mkuu mchepuko yuko after something acha hiyo tabia sio nzuri baba wa watoto watatu mshahara wa dhambi ni mauti aziniye na mwanamke ni mp..... Tena Hana akili hadi mimba kwa kweli acha hiyo tabia sio nzuri lazima unataka kuisambaratisha Familia acha Tampa mwogope Mungu.
 

Ubarikiwe!!
laiti wanaume wote wangejua visasi na ukatili wanaotengeneza kwenye mioyo ya wake wanaowaumiza now and then hakika wangeacha!!
taraaaatibu unajikura tyu unakuwa ligegelemahi Deo Corleone au Peter Mselewa mkuje kufasili huli
 
Last edited by a moderator:
Kaka acha kujidanganya sisi si malaika, hivo hata huyo mtamu, sijui lovely, n.k kwa kuwa u mbali naye ukikaa naye utatambua mapungufu yake mengi tu, utamwona si kitu, na hayo uyaonayo sasa ni mazao ya mahangaiko ya kisaikolojia hasa baada ya kuwa na matarajio tofauti kwa mwenzi wa kwanza hivo automatically huyo amekuwa bomba kwako. Penzi huweza kuvunda inategemea unalitunzaje kama si mtunzaji wa penzi hata huyo ukipewa baada ya muda fulani atakuwa si kitu, penzi litavunda, na utamwona mwingine utampenda huyo. Hebu achana na huyo mwizi wa penzi la shemeji yetu, hivi hujajiuliza uzuri wote huo hana jamaa mwenye malengo naye mpaka akudandie wewe, na wewe ukiwa naye kama mkeo baadaye nini kitamzuia kutoka na mwingine njen maana huyo ana roho ya kuingilia penzi la mwingine na hiyo roho ni endelevu, utajitia presha, na je amewezaje kukupa kirahis hivyo, au wangapi umekutana nao. Cha muhimu MKUU weka ufahamu kuwa wanawake wazuri kupindukia wapo na hutawamaliza maana kuna mwingine yuko mbioni kukutana nawe naye ni mkali kwako kuliko huyo wa sasa, vp hapo napo, usikifatishe hiki kijamaa kilichotufanya tuitwe wanaume uwa hakitosheki, hivo kinakupa visingizio kibaoooo. Rudisha nyuma kumbukumbu na baby wako mlipoanza, shuka chini mtaanza kama zamani yaani utashangaa penzi motomoto linarudi, huyo mwingine kwa status yako ni kiruka njia tu, ana vijifaida kwako hata vya kijifariji tu baada ya kuonekana bomu kwa wengine. NB: UKIENDESHWA NA JINSI WAREMBO WALIVYO SIKU MOJA UTAMTAMANI JIRANI, SHEMEJIO, DADA AKO MAANA NAYE NI MREMBO TENA KULIKO HUYO UMSEMAYE, BAADAYE MAMAKO MDOGO, AU WAPWA ZAKO NA UZEENI WATOTO WAKO. TAKARI CHUKUA HATUA.
 
Telekeza mke wako na wananao nenda kwake mwisho wa siku utaona matokeo yake! yaani mambo kama haya mwanaume ukifanya hata haitakiwi kusimulia wenzio ni aibu.. ngoja niondoke niende zangu nikanywe bia!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…