Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
3,391
Reaction score
1,546
Katika umri wa miaka 38 sasa nina mke na watoto watatu,sometimes najuta why she came into my life,this single mom, very cute,beautiful,sexy and sweet.

Kama ningekutana nae kabla ya kuoa,lakini ndo basi tena. I have another life to live, Iam tied to somebody tena Kanisani tangu tukutane amenionyesha kunipenda sana,siyo siri nami nimefall kwake vibaya.

Amekuwa anaiba na amekiri ni ngumu kuachana na mimi, yuko tayari hata kuwa mke wa pili, siwezi kumwambia haiwezekani pia nakosa uwezo wa kumuondoa katika maisha yangu kwa kuwa nampenda.

Seriously nahitaji ushauri, kwa akina baba wenzangu uzoefu wenu utanisaidia sana, kwa akina mama pia siyo mbaya kama una la kusema.
 
maisha haya... mhh

Unaomba leseni ya kuchepuka JF??

kwikwikwikwi

siombi leseni ya kuchepuka mkuu hapa jukwaani koz nishachepuka tayari,u know as a man,at a time T and a place P kuna situations ambazo mtu una meet na zinatatiza.every man has met a situation of his own,if not yesterday then 2moro,cha msingi ni ku share ideas tu how to come out of such situations
 
nimekusoma mkuu, lakini ulichoandika hakieleweki unataka ushauri gani...

ukiambiwa acha utasema yeye ni mchepuko wenye heshima na amekubali kuwa second wife; ukiambiwa endelea utasema unampenda mkeo na wanao

to me, it was more of FYI than anything else
 
nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipsema asante pia
 
Ndio maana nchi haiendelei kwa laana za kuwa na kima Kama nyinyi mnaowaza upuuzi kila wakati ...

Peleka Uzi wako kule MMU utawapata watu Wa type yako hapa si mahala pake punguani wahed!!!
 
Ndio maana nchi haiendelei kwa laana za kuwa na kima Kama nyinyi mnaowaza upuuzi kila wakati ...

Peleka Uzi wako kule MMU utawapata watu Wa type yako hapa si mahala pake punguani wahed!!!

dah mapunguani tuko wengi kweli,kama wewe siyo mmoja wao huku umekuja kufanya nini?asante punguani mwenzangu kwa kuja kuniona
 
dah mapunguani tuko wengi kweli,kama wewe siyo mmoja wao huku umekuja kufanya nini?asante punguani mwenzangu kwa kuja kuniona

Hili jukwaa unajua maudhui yake? Peleka MMU kama utaniona mnaacha kuwaza vitu vya msingi kutwa kuzungumzia ujinga badilikeni mnakera bwanaa.
 
Kuepusha matatizo ya watoto wa nje ya ndoa,better hiyo mimba mkatoe fasta bado ndogo,vinginevyo umekaribisha matatizo makubwa kwenye ndoa yako,ama laa kama unampenda sana usilimu ili uruhusiwe kuwa na ndoa mbili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom