PENZI LA DADA/KAKA WA DAMU MOJA?

PENZI LA DADA/KAKA WA DAMU MOJA?

kwani biblia inasemaje katika hilo???
Jibu la mdau,
Ndio ubaya wa story za kutunga....mara nyingi zinaishia hewani pasipo na majibu ya maswali yatakayo ibuka....kama Mungu ndiye aliyeumba watu basi angeumba wanawake na wanaume wakutosha ili wasizalishane ndugu kwa ndugu.....na kama aliruhusu ndugu kuzaliana, kwa nini akataze sasa hivi???
https://www.jamiiforums.com/threads...-hawa-je-wake-zao-ni-kizazi-cha-nani.1116005/
 
Mkuu hii ni story kutoka kwny pilika za maisha tu, mm siwezi abadan asilani kufany dhahama hyo na sio dada wa damu tu hta mdogo au dada wa mke/mpenzi wang siwez kumgegeda wallah tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye mashemeji unatufunga kamba. Shemeji nampeleka moto kama wote. Hata binamu nampelekea moto vilevile. Jamani mtu ambae ni laana ni Dada yako na mama yako tu wengine wote moto unawahusu. Biblia zenyewe zinaonyesha jamaa walivokula watoto wa ndugu zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmoja alisema laana kubwa, lkn jamaa akasema kuwa kuna mdada mmoja alikujakuambiwa siku moja kuwa mume wake ni kaka yake wa damu lkn ameshazaa nae watoto watatu ikabid tambiko lifanywe na wakatenganishwa ila walikaaa wakatafutiwa wachumba ila ilikuw kaz bure maan bibie alikuw akipanda gari kufuata mtekenyo wa kakaake na akifka anaitendea haki kuliko akiwa kwa mumewe mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikosea sana kuwatenganisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhyo mkuu wewe unaweza kumgegeda ndugu yako wa damu kabisa toka nikutoke? Kabisa unawrka chuma inafumua nyama. Aiseeee!!!!!
kwani biblia inasemaje katika hilo???
Jibu la mdau,
Ndio ubaya wa story za kutunga....mara nyingi zinaishia hewani pasipo na majibu ya maswali yatakayo ibuka....kama Mungu ndiye aliyeumba watu basi angeumba wanawake na wanaume wakutosha ili wasizalishane ndugu kwa ndugu.....na kama aliruhusu ndugu kuzaliana, kwa nini akataze sasa hivi???
https://www.jamiiforums.com/threads...-hawa-je-wake-zao-ni-kizazi-cha-nani.1116005/

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye mashemeji unatufunga kamba. Shemeji nampeleka moto kama wote. Hata binamu nampelekea moto vilevile. Jamani mtu ambae ni laana ni Dada yako na mama yako tu wengine wote moto unawahusu. Biblia zenyewe zinaonyesha jamaa walivokula watoto wa ndugu zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhhhh wewe unasema hvokuu, lkn kwng mim aisee ni ngumu sana labda kuwepo na mazingira fln magumu sana yasiyoepukika kiukweli ndio inaweza kutokea nikampelekea moto shemeji yng lkn sio mimi nianzishe kumtaka yey nimpapue hamna mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye mashemeji unatufunga kamba. Shemeji nampeleka moto kama wote. Hata binamu nampelekea moto vilevile. Jamani mtu ambae ni laana ni Dada yako na mama yako tu wengine wote moto unawahusu. Biblia zenyewe zinaonyesha jamaa walivokula watoto wa ndugu zao

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakuwa ni wanyama hao....kwanza inawezaje kusimama?
 
Well said lkn pia sio mazingira na sabab za ww kufany hyo yote kwake na kwa mke wako.
Sidhan wewe utafurahia kuskia mdogo wako wa kiume anamtifua mke wako kinomanoma lazma maumivu yako uyapeleke kwa mkeo pindi akisikia kuwa unamtembezea dudu mdogo wake wa kuzaliwa. Ni kisanga jombaa
Hapo kwa mdogo wa mke tengua kauli kwa kuwa anafaa ila inategemeana na mazingira

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Astaghfirullah! sijui maana ya hili neno lakini nimetafuta cha kukomenti nimekosa nadhani hili neno linafaa sana hapa ila kwa nyongeza nijulishe maana yake nilitumie tena siku nyingine nimapokutana na mambo ya ajab kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
evart

Ndg Mpendwa... Neno hili adhimu ni neno lenye utukufu wa Hali ya juu "Asstaghfirrullah" Yaani ninaOmba msamaha kwa Mwenyezzi Mungu wee ndo msamehevu pekee" mpokeaji Toba ya kweli...
Hili neno hutumika ktk kuepusha madhambi kabla hayajatokea au yanapotoke au yalishatokea !!

Hivo yafikapo kwake (M/Mungu) huwa ni muhali kwake Allah !! Anasamehe kwa Toba uliyotilia mkazo.

Mungu atusamehe jeuri zetu na makosa yetu.. Amin
 
Wakuu habari?
Leo kwny gari moja hv kulianzishwa mjadala lkn aliyeanzsha nahs aliona mazingira yanaruhusu maan kiukwel mazimgira ya safari yaliruhusu umri wa wasafiri sasa kama utani tu jamaa akasema kiukweli yeye kuna siku aliwahi kupatwa na tatzo la kupendwa na dada yake wa kuzaliwa waliopshana kunyonya ziwa la mama yan kila akijtahid kumuepuka akawa anashindwa kutoka dada anamzid ujanja na ushawishi lkn alikuja kuokoka pale dada mtu alipopangiwa chuo chabali na kuondoka hom lkn bado aliendelea kumshawishi kupitia mawasiliano akimuambia yan Nakupenda zaid ya unavyofikiria.
Sasa kichekesho kikaja kwenye majadiliano watu waliongea mengi ila kuna mmoja aliyenifuarahisha akasema kiukweli ukiona kaka/dada yako wa toka nkutoke anakupenda na anataka ale mzigo basi ujue hyo sio dama ya baba yko ila mama alichepuka kiaina maan haiwezekan kwa dada au kaka wa du kupeana utamu.
Naomba kujua kutoka kwenu inawezekana kwa Dada au Kaka wa damu kupelekeana moto kama wapenzi kabisa??
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nawaburuzaga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom