Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
- #41
Aisee! Mdau unakuja kwa kasi....
ila hilo jina Neema Tarimo........
Samahani kama wewe ndiye Baba mkwe.
Aisee! Mdau unakuja kwa kasi....
ila hilo jina Neema Tarimo........
Samahani kama wewe ndiye Baba mkwe.
Naweza kuwa niliyebaki na Neema wewe ulipoenda Chuo kikuu!
Kwani bby mi najishaua??Usijali my.
Wewe tena.
Ila sipendi mtu anayejishaua my

Huyu michael ana bby wangapi?
Kwani bby mi najishaua??![]()
![]()
Sasa mbn umesema hupendi mwanamke anaejishauwaHapana my.
Hahaaaa"!!nitarudi gari likipinduka
Leta kipande kingine!!!
Kumbuka hauko kuwafurahisha kila mtu!!!
Big-up man!!!!
ndoto tena jamani?