Penzi la Bar maid

Wewe ndio umekosea, kama una nia ya kumuoa kwa nn uwaambie ndugu zako kuwa ni barmaid, ukijua kabisa mindet ya watu kuhusu barmaids, kwa nini husingewaambia ni mfanyabiashara
 
wewe hujioni hata hujielewi una anandika nini? nenda katambikie mizimu ya kwenu utakuwa umelogwa wewe
 
Kwani barmaid sio mtu? acha utoto na kuweka matabaka katika mapenzi hizo degree na masters zako zina kazi gan kitandan
 
KWANI BAR MAID SIYO MWANAMKE??? HIZO KAZI NI MGAWANYIKO TU WA MAJUKUMUU..ACHENI DHARAU... AU KE NA YENYEWE INAKUWA NA DEGREE
 
huyo m
alaya ulioa au ulikua unapooza tuu?
 
Kama hauna ndoto zakuwa mwanasiasa endelea nae na oa tu barmaid wako,lakini kama unandoto hizo jua umepata DOA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…