Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,670
- 167,720
Daah December 1997-April 1998 nitaikukumbuka sana,Nilimpenda sana mpenzi wangu jane,na siku ananiahidi kunipa tunda nilienda kwao saa1:30 asbh baada ya wazaz wake kwenda kibaruani,yaani siku nzima nilishinda kwao na home kwetu niliachwa mimi peke yangu nikasahau hata kuwapa ng'ombe maji,narudi home usiku napokewa na kofi la mgongo kutoka kwa dingi na akaniambia nitafute nyumba yangu maana nimekuwa.
mmmmm naitwa Jane
Acha kuzingua wewe wa Joseph,
haya kama huamini
Hehehe ur laughing through xperience.. Sema mkuu yalisha kukuta haya eeehhh
Uuupsss that day at intern's house.....
ol tha way from chuo nimeloana nafata mgegedo
nampenda huyo mtu hadi kesho
nilivyopewa pesa nyingi
ha ha haha haHahahaa... comments zako nisipoona neno PESA naangaliaga ID mara mbili mbili...
Haaa haaa eti diana wangu!.... Cku ya kwanza tu kakupa huyo alikuwa maharage ya mbeya
heheheh weka wazi mkuu aka funguka mkuuyaani mkuu ni tamu balaa, you remind me of somethin'