Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Wabinafsi kivipi? half mbona unanipotezea? nimekwambia ni pm bas nkupe flavour.
Ufunguo wa pm anao Nyani Ngabu
Last edited by a moderator:
Wabinafsi kivipi? half mbona unanipotezea? nimekwambia ni pm bas nkupe flavour.
Ufunguo wa pm anao Nyani Ngabu
Wanaitwa lipongo. Au beberu. Au mbuzi dume. Teh teh teh ni pm bas nikupe utamu
lipongo....... !!!!! i smell something........
Saa tisaa usiku halafu anakuuliza unafanya nn? Teh teh teh.. Lakini mkishachokana akupigie midaa hiyooo.... Sipati picha majibu yatakayo toka hapo
Ha ha ha ha ha ha umenikumbusha mbali weye
First kiss I cnt ever4get ilidumu kama dak5 hiv shikana sana na baby ad nikwamwag.a. pale pale dah bording buana.
Penzi changa lina raha sana, nyakati tamu za kukumbukwa, candle light dinner, vijizawadi na vikwerombezwo vingine. Je,wewe unakumbuka nini kwenye mapenzi machanga?
Kumbe kutiwa siku ya kwanza ni umaharage ya mbeya eeh
ni kwavile tu humjui dada mwenyewe, ilikuwa kama utani yaani, hata mwenyewe sikuamini kama ndo namla, the most beatiful lady ktk series yangu
akikujib niite
Na wewe ukajiona mjanja kumlala cku ya kwanza, na wenzako anawafunulia hivo hivo kama wewe alivyokufunulia!... Sasa ana tofauti gani na wa ambiance?
Na wanaume wanaotia siku ya kwanza mnawaitaje?
maybe, who knows?
Ukakasi mtupu hapo... Utamu wote kwishnei!
dah first day I mate Joseph..... kissing ilikuwa hot...... sitosahau yaani ilikuwa tam Sana
Hivi huyo joseph yupo kweli au unazingua tu kutunyima raha wenzio,