Penzi Changa:- Let us share experience

Penzi Changa:- Let us share experience

Uuupsss that day at intern's house.....
ol tha way from chuo nimeloana nafata mgegedo
nampenda huyo mtu hadi kesho
 
Daah December 1997-April 1998 nitaikukumbuka sana,Nilimpenda sana mpenzi wangu jane,na siku ananiahidi kunipa tunda nilienda kwao saa1:30 asbh baada ya wazaz wake kwenda kibaruani,yaani siku nzima nilishinda kwao na home kwetu niliachwa mimi peke yangu nikasahau hata kuwapa ng'ombe maji,narudi home usiku napokewa na kofi la mgongo kutoka kwa dingi na akaniambia nitafute nyumba yangu maana nimekuwa.
 
kiss ya kwanza ilianza kwenye pipi...kumbe alikua akikiss FOR THE FIRST TIME! alitetemeka nikajua anazimia..kupiga 'hatua nyingine' nikakuta hakuna njia....sikuamini!mwaka wa tatu chuo!???Shame on me kwa kukuumiza.Mungu akufute machoz kokote uliko mama N wangu!
 
Daah December 1997-April 1998 nitaikukumbuka sana,Nilimpenda sana mpenzi wangu jane,na siku ananiahidi kunipa tunda nilienda kwao saa1:30 asbh baada ya wazaz wake kwenda kibaruani,yaani siku nzima nilishinda kwao na home kwetu niliachwa mimi peke yangu nikasahau hata kuwapa ng'ombe maji,narudi home usiku napokewa na kofi la mgongo kutoka kwa dingi na akaniambia nitafute nyumba yangu maana nimekuwa.

mmmmm naitwa Jane
 
Oooooh my God, those moments was so real and lovely, love was so pure everytime u wish to be together hakukua na kuchokana hatamkishinda wote siku nzima akiondoka tuu mdahuohuo unamiss tena.
 
Hehehe ur laughing through xperience.. Sema mkuu yalisha kukuta haya eeehhh

Yaan nilikuwa silali, dk 2 kakupigia dk 2 sms ,halafu asubuh kazin, yaan we a cha tu ,lakin sasa hiv ukiona simu ya usiku ujue kuna jambo
 
Uuupsss that day at intern's house.....
ol tha way from chuo nimeloana nafata mgegedo
nampenda huyo mtu hadi kesho

Alafu mtu uliyekuwa unampenda kwa dhati hata mkiachana zile feelings haziwezi kuhamia kwingine sjui why?
 
Tulianzia chuoni Mara kwenye ngazi (night kali),Mara kwenye uwanja wa chuo,Mara kwenye bustani za chuo ninampenda sana na ananipenda balaa na hatimaye sasa ndiye wangu wa ndoa.
 
Ilikuwa 2004 Nilipokutana na Mtoto Oliver... Kwa Mara Ya Kwanza Kukutana naye Sitaisahau Kwa Kuwa Alinifanyia Kitu Ambacho Kilikuwa Kigeni Kwangu Aisee! Ilikuwa ni mara Ya kwanza MIC yangu Kutumiwa Na Mwanamke tena Kwa Floo Za Hali Ya juu....Nilipagawa Mpaka Basi.... Popote Ulipo Nimekukumbuka
 
Penzi changa lina raha sana, nyakati tamu za kukumbukwa, candle light dinner, vijizawadi na vikwerombezwo vingine. Je,wewe unakumbuka nini kwenye mapenzi machanga?
 
linaambatana na aibu Fulani Hivi.... Lina msisimko na mizuka laki tano
 
Hahahaha nakumbuka ilikuwa nikimshika hata mkono anaangalia pembeni huku akitabasamu, alikuwa haamini anaona km kaokota embe kwenye mfenesi.
 
Duh 🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾
 
Back
Top Bottom