RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,435
- 2,009
Haaa haaa eti diana wangu!.... Cku ya kwanza tu kakupa huyo alikuwa maharage ya mbeya
Hehehee! Kwa vijana wa siku hizi, hiyo ni kawaida saana. Tofauti na zamani mpaka upangwe kwenye one of the public holidays. Balaa ni pale uko January afu unaambiwa subiri mpaka X-mas.