strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,312
Dah penzi changa jaman nyie acheni tu watu wanapigiana simu hata saa 9 za usiku,
Enzi zetu, wasichana wana aibu sana, anataka uzime taa. Ila vibinti vya siku hizi mmmhhh....
Dah penzi changa jaman nyie acheni tu watu wanapigiana simu hata saa 9 za usiku,
HahahaaaaaEnzi zetu, wasichana wana aibu sana, anataka uzime taa. Ila vibinti vya siku hizi mmmhhh....
Saa tisaa usiku halafu anakuuliza unafanya nn? Teh teh teh.. Lakini mkishachokana akupigie midaa hiyooo.... Sipati picha majibu yatakayo toka hapo
Enzi zetu, wasichana wana aibu sana, anataka uzime taa. Ila vibinti vya siku hizi mmmhhh....
Linaambatana na cku ya kwanza kuktana kimwli na kumtupia bao nyingi sana kuanzia 5 lkn bahada ya miezi bao moja nalo kupata kazi
noti ndiyo mpango mzima .. maneno mengi halafu huna hela hautakiwi hapaKama id ako.. Pende helaaaaa thana wewe... Team kupeti kwako mmhh.. Labda upetiwe na noti
umenikumbusha diana wangu, nilimtia siku ileile alonipa jibu, kesho yake tena akaja, dah! likiwa changa tamu say
I dd
Hehehehe sex on first sight sio, I love that I dd it several times only kwa wanaojitambua tu
Mkuuu kanikumbushaa mbali kinyama.. Nilinyeshewa na mvuaa aiseee nimesimama chini ya mti namsubiri mtoto.. Kigiza giza cha jioni hivi....
we kama Mimi mkuu nilinyeshewa mvua kubwa pale C.B.E akiba jioni namsubiri mtoto Cecilia atoke class
Eheheheh... Mvua inakupiga na wala hutamani kuondokaa... Huwa sisahau
Enzi zetu, wasichana wana aibu sana, anataka uzime taa. Ila vibinti vya siku hizi mmmhhh....
Kumbe kutiwa siku ya kwanza ni umaharage ya mbeya eeh
Yaaaap habari ndo hiyo. Na wewe ndo walewale nn?
Na wanaume wanaotia siku ya kwanza mnawaitaje?
Wanaitwa lipongo. Au beberu. Au mbuzi dume. Teh teh teh ni pm bas nikupe utamu
Wabinafsi kweli nyie