Penzi binafsi linaumiza mgongo?

Kuna daktari maarufu kule Kibaha anaitwa Dr.Bake nakushauri ukaonane naye
...Kweli kabisa...Dr. mzuri sana kwa matatizo ya mifupa...But namshauri awe muwazi tu kuwa alikung'uta nyeto kwa muda mrefu then aendelee....!!
 
Hahahahaaa! Unaogopa jamaa atakupa ushauri hasi siyo? Tukirudi kwenye mada, sidhani kama penzi binafsi lina side effect kama hiyo bali cha muhimu jitahidi kufanya mazoezi ya mgongo. Pia kitu unachukuwa unakitumia ofisini kakwo kinaweza kuwa kinachangia mgongo kuuma hivyo jaribu kubadilisha mazingira ya ukaaji wako. Halikadhalika uwe unajipa mapumziko ya mara kwa mara kama kusimama na kunyoosha nyoosha mgongo ili uusaidiie kurilaksi unapokuwa ofisini.

Ni hayo tu Kaka..

Mkuu nakubaliana nawe, wengi wetu kulingana na nature za kazi tunatumia muda mwingi ofisini tumekaa, hivyo kiti kinasehemu yake na break za hapa na pale zinasaidia. Kaisari wangu anakitengo kinasimamia hili!
 
Kaka niambie kama umepita TMA (zamani CTU) au vyuo vya UWT kama ulipita huko ujue una tatizo kubwa kwani ligaments zilizoko katikati ya vipingili vya uti wa mgongo zimevimba. Tatizo hilo linawakuta sana watu waliofanya mazoezi ya nguvu huko nyuma na kuacha. Piga X-ray kaka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom