Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,576
mpwa mpwa habari za mapumziko.
mpwa leo nimepumzika kwelikweli nyumbani najiandaa kwenda kupiga futari kwa jirani yangu amenialika kufuturu jioni hii.
mpwa mpwa habari za mapumziko.
Hatuwezi kufanana.........
wacha wajiachie tu , ilimradi hawavunji sheria , taratibu na kanunu.........
Na ajabu zaidi mada zao zina wateja zaidi.....teh teh
Teh teh......na wateja kupotea ni ngumu labda kizazi chote kife kije kipya.
Ha ha ha anaweza akaleta na tusione za maana vilevile.Mboga maharage....nyama hamu.Wateja ndo tusikilizwe tunataka nn!!!
ujio wako huu ,,,,,,,,
unanikumbusha story ya babu kuwa ukimuona mwanamke ameaamka asubuhi anafurahi kwa kuimba imba basi ujue.......................:A S wink:
Teh teh haya kaka. ...
nashukuru kwa kukubali........
Ha ha ha nilikua nakutania rafiki though ki kwetu kanunu maana yake kazuri.
kibantu cha wapi hicho?
Unaakili sana mwalluSolving private stuffs privately..... My motto
Hahahahahahahahaha yaani wewe mkorofii khaaaa sasa mwajiri atakua nani eeeeh.kama ubinadamu kazi mbona hatulipwi mishahara shem?