Penye wengi pana wengi...

Penye wengi pana wengi...

Mtoa mada we hujawahi post anything personal kweli humu?....
 
maisha yenyewe mafupi unaweka kila kitu siri magonjwa uweke siri mali ulivyopata iwe siri kazi ulivyopata iwe siri hata mapenzi yawe siri watu wangekuwa wanaoana gizani kwani sherehe nyingi huusisha watu wengi usiri unasababisha msongo wa mawazo ile ukimwambia mtu unakuwa kama unapunguza mzigo au hujui au hujapata msongo wa mawazo
maisha hayapo hivyo kwa wote kama unavyofikiria
 
Solving private stuffs privately..... My motto
 
Haiwezekani kila wakati kuwe na na mambo ya msingi,jukwaa litapooza.

Wengine JF ni sehemu ya kupitisha siku kwa burudani.kwahiyo drama queens and kings they do it all,sio kila mara tusikilize vilio na shida za watu.The whole situation ya mahusiano na kusikia huyu kamwagwa,yule yupo na huyo mara vijembe vya hapa na pale feels like a tv series and it's funny.

Japo kuna thread zingine ni utumbo kweli ila ndio maisha,lazima kuwe na mchanyato wa upuuzi,vichekesho na mambo ya msingi.so uzi wako hauna mashiko kiiiivyo

Kama unahisi kila private issue ya hizi relationship za humu ni za kweli basi pole,umeshawaita drama queens and kings then how can u think that what they say is true? Wanafurahisha jukwaa tu ila mengi ni ya kutunga ili watu tufurahi.
 
Back
Top Bottom