Penye wengi pana wengi...

Penye wengi pana wengi...

Thus y wengine tunaishia kuwa wasomaji tu, nipo humu kitambo sana hakuna siku ambayo siingii kuna mada huwa nasoma tu nafurah na kucheka but kuna nyingine uharo mtupu
 
Watakuelewa bana..na sisi watanzania tulivyo na ujuaji wa kishamba shamba..utaona tu majibu hapa..nakua bored kuingia jf sijuhizi..kwa sababu ya mambo uliyoandika hapo..
cc gorgeousmimi
wakati mwingine ni kutojua mambo(exposure ndogo), kuwa na grandiosy behavior, na ujuaji ujuaji tu...wengine tukiwaambia wanalia lia na kusema tunafuatilia..solution ni kutoingia tu wakati mwingine
 
Samahani gorgeousmimi sitakushika shika tena mbele za watu, narudia tena samahani mpenzi kama nilikuumiza moyo.
 
Last edited by a moderator:
Humu kuna watu tofauti unachokiwaza wewe kwawakati huu haiwezi kua rahisi na mwenzako akawaza kama wewe na ndipo utofauti kama binaadamu unapotokea,,,wazungu wanamsemo kwamba "everyone need someone to share with" kwamaana huyo ambaye amepost thread kuhusiana na hayo mambo kuna kitu kinamzonga katika kichwa chake so by means of posting akashare nawewe ndo kwake uhafadhari unapatikana so huezi zuia hiyo hali ingawa umewaza kitu potential sana na point ya msingi ni kujizuia kupost kama unaona hakina manufaa kwawengine.
 
wakifuata ushauri wako kina @umukamage jukwaa litapooza na sisi wengine ndo tunaponea hapa kupunguza mawazo na kupata burudani ya waigizaji fake
 
Asante kwa ushauri ila mimi naona wanachangamsha jukwaa japo wengine wamezidi
 
Waacheni tu waje ili tuwajue vizuri japo tunatumia fake ID's.

ID feki ndio bt sasa hiv humu watu tunafahamiana sana coz kama watu wanawasiliana through phone no. na social networks nyingine huoni kama ID zetu zimepoteza usiri
 
  • Kuna wale ambao wana ID tatu tatu,whom are you fooling?
Ni hayo tu kwa sasa kama una ya ziada ongezea....

JF imekuwa jumba la sanaa... na ID ni characters mcheza filamu anazotaka kuwa nazo... ni kama vile utamuona Denzel washington kama polisi, au kama jambazi, au kama detective mwenye ulemavu, yote sanaa tu

tulikua na makamanda wa nguvu, walipookota opportunity na kuingia kwenye elite societies, wametuacha weupe, kuna watu humu ndio sehemu ya kutoa stress na wengine wamediriki hata kutumia hii fursa kuvuruga ya watu...

Hoja uliyoleta si mpya, inarudi kwa namna tofauti-tofauti... Ushauri wa bure, Chukua yanayokufaa, acha yasiyokufaa
 
Watakuelewa bana..na sisi watanzania tulivyo na ujuaji wa kishamba shamba..utaona tu majibu hapa..nakua bored kuingia jf sijuhizi..kwa sababu ya mambo uliyoandika hapo..
cc gorgeousmimi
wakati mwingine ni kutojua mambo(exposure ndogo), kuwa na grandiosy behavior, na ujuaji ujuaji tu...wengine tukiwaambia wanalia lia na kusema tunafuatilia..solution ni kutoingia tu wakati mwingine

Hata mi naona majibu yao teh!
 
Samahani gorgeousmimi sitakushika shika tena mbele za watu, narudia tena samahani mpenzi kama nilikuumiza moyo.
Kuna ambao wanajiona wapo huru kuandika/kuquote utumbo wowote ule,LADY/GENTLEMAN PLEASE....uliisoma part hii?
 
Last edited by a moderator:
Habari za saa hizi,
Jamani Jamiiforums siku hizi imejaa maigizo....sielewi watoto ambao hawajapevuka ni wengi au ndo penye wengi pana mengi??
  • Kuna wanaopendana,wakaachana hadharani(LOVE IS IN THE AIR):A S wink:
Tujifunze kuweka mambo yetu personal private jama...haumnufaishi yoyote kuanika mambo yako hadharani bali unajiexpose na unawapa vizabizabina maneno ya kusema...na uhusiano huo unakuwa na nafasi kubwa ya kutokudumu!!Hakuna mtu anayetaka kujua upo na nani na kwaajili gani au umeachana nae lini.Sisemi kwa ubaya na sikatai kupenda na kupendwa raha lakini kumbuka hio raha yako si ya wote,tunafurahi tukiona watu mnapendana na mapenzi shamsham lakini keep it low people,cause thats how matured people do it...YOUR LOVE LIFE IS YOUR PERSONAL BUSINESS!!
  • Kuna wanaokuja na mada za ajabu ambazo hazina misingi yoyote sielewi watu hawa wanafikiri nini??
Tuwe na heshima,fikiri kabla hujaandika kitu,hii ni sehemu yenye watu tofauti wa rika tofauti.Kuna wengine wanakuzaa,kuna mpaka babu zetu,jiheshimu nawe utaheshimiwa.Tutoe mada ambazo zitakuwa na manufaa kwetu ambazo zitachangamsha ubongo wetu na kujenga jamii yetu.
  • Kuna ambao wanajiona wapo huru kuandika/kuquote utumbo wowote ule,LADY/GENTLEMAN PLEASE....
Ndio hatujuani lakini tunatambuana utu wetu kutokana na fikra zetu kutokana na michango yetu.na michango hiohio inatutambulisha sisi ni watu wa aina gani.
  • Kuna drama queens na kings ambao kila kukicha ni full dramas.
Sijui kama kuna kitu ambacho hakiwatokei,misukosuko yote huwapata wao,NAJUA LIFE IS UNFAIR...Lakini kila mtu na shida zake.Watu wakiamua kuzianika hapa tutatafutana....
  • Kuna wale ambao wana ID tatu tatu,whom are you fooling?
Ni hayo tu kwa sasa kama una ya ziada ongezea....

Hiyo ndio reality. Hatupo sawa. As long as watu hawavunji sheria. Let them be.
 
wewe mwenyewe ushasema humu tupo watu wa rika zote kwa hiyo jifunze kuishi na kila mtu. sio rahisi kumbadilisha kila mtu abehave kama unavyopenda wewe. mbaya zaidi jf watu wanajoin kila kukicha. kwa hyo mtu atakayejoin mwez ujao anaweza asiuone huu uzi wako.
 
Back
Top Bottom