Penye wengi pana wengi...

Penye wengi pana wengi...

Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
9,296
Reaction score
7,688
Habari za saa hizi,
Jamani Jamiiforums siku hizi imejaa maigizo....sielewi watoto ambao hawajapevuka ni wengi au ndo penye wengi pana mengi??
  • Kuna wanaopendana,wakaachana hadharani(LOVE IS IN THE AIR):A S wink:
Tujifunze kuweka mambo yetu personal private jama...haumnufaishi yoyote kuanika mambo yako hadharani bali unajiexpose na unawapa vizabizabina maneno ya kusema...na uhusiano huo unakuwa na nafasi kubwa ya kutokudumu!!Hakuna mtu anayetaka kujua upo na nani na kwaajili gani au umeachana nae lini.Sisemi kwa ubaya na sikatai kupenda na kupendwa raha lakini kumbuka hio raha yako si ya wote,tunafurahi tukiona watu mnapendana na mapenzi shamsham lakini keep it low people,cause thats how matured people do it...YOUR LOVE LIFE IS YOUR PERSONAL BUSINESS!!
  • Kuna wanaokuja na mada za ajabu ambazo hazina misingi yoyote sielewi watu hawa wanafikiri nini??
Tuwe na heshima,fikiri kabla hujaandika kitu,hii ni sehemu yenye watu tofauti wa rika tofauti.Kuna wengine wanakuzaa,kuna mpaka babu zetu,jiheshimu nawe utaheshimiwa.Tutoe mada ambazo zitakuwa na manufaa kwetu ambazo zitachangamsha ubongo wetu na kujenga jamii yetu.
  • Kuna ambao wanajiona wapo huru kuandika/kuquote utumbo wowote ule,LADY/GENTLEMAN PLEASE....
Ndio hatujuani lakini tunatambuana utu wetu kutokana na fikra zetu kutokana na michango yetu.na michango hiohio inatutambulisha sisi ni watu wa aina gani.
  • Kuna drama queens na kings ambao kila kukicha ni full dramas.
Sijui kama kuna kitu ambacho hakiwatokei,misukosuko yote huwapata wao,NAJUA LIFE IS UNFAIR...Lakini kila mtu na shida zake.Watu wakiamua kuzianika hapa tutatafutana....
  • Kuna wale ambao wana ID tatu tatu,whom are you fooling?
Ni hayo tu kwa sasa kama una ya ziada ongezea....
 
Kuna watu wana 'exhibitioning tendencies' ni psychological issues...ni kuwazoea tu...WaPo watu wana crave ku make porno videos na ku share na public...Unaweza think hawako normal but wako hivyo hawaigizi...
 
Hii ni mitandao, usichukulie kilakitu serious sana, wacha drama ziendelee ili watu tucheke bana!
 
Lets be real...sichukulii kila kitu serious bana...lakini people are too fake.....

hahahaa, reality sucks!...watu wakiwa real hapa MMU patachukiza bana! hapa kila mtu ni mshosti, uzee mwisho jukwaa la siasaaaaa!
hommer.jpg
 
mleta mada ukitaka kuover work ubongo wako tembelea jukwaa la intelligence au jukwaa la great thinker.
 
yote hiyo inasababishwa na stress za mahusiano. watu wapo stressed sana na relationships mpaka wanatuchafulia jukwaa. tujifunze kujicontrol.
 
Kwenye jamii yeyote hawakosekani watu kama hawa, wanachangamsha jamii.

Wengine hatuna sehemu nyingine ya ku-socialize zaidi ya hapa.

Wawepo tu. life goes on.
 
Waacheni tu waje ili tuwajue vizuri japo tunatumia fake ID's.
 
absolute no sense. ukiingia kwenye mitandao ya jamii ukubali yote. dnt lament wakati u got the choice
 
kuna signature ya mtu inasema "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"
 
nakubaliana, kubadili tabia kizazi cha leo kwa maneno?

Cha nuhu walisombwa na maji, cha ruthu wakachomwa moto, bado haikusaidia.

Ukichoka drama ni kujipiga ban tu.

absolute no sense. ukiingia kwenye mitandao ya jamii ukubali yote. dnt lament wakati u got the choice
 
social media... yani hapo huja-make any difference, mambo yataendelea kua vilevile... dunia nzima social media ziko hivi hivi, tunasema the human race is f..cked up, mada ambazo kidogo zina msingi utazikuta reddit...
 
Back
Top Bottom