Penye kuzalishwa umeme hakuna umeme! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Penye kuzalishwa umeme hakuna umeme!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, May 19, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Vijiji karibu vyote vinavyozunguka katika Bwawa la kuzalisha umeme la Mtera mkoani Iringa havina kabisa umeme.Vijiji hivyo vilivyopo kwenye Jimbo la Simani linaloongozwa na Ndugu William Lukuvi vimeambulia kuona nguzo zikisafirisha umeme huo kwenda mikoa mingine tu.

  Lukuvi aliwaahidi tena wakazi wa hapo kuwa umeme utafika(baada ya kuzunguka mikoa mingine) mnamo mwaka 2014.Wananchi wapenda maendeleo wanasubiri kwa hamu ahadi ya Mbunge wao huyo aliyepita bila kupingwa!
   
 2. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Nilipokuwa sekondari niliambiwa nikariri maneno hayo hapo chini.
  "Juring kolonio ira wi wea projuzing wot wi didi noti konshumu endi wi konshumdi woti wi didinti projuzi".
  Kwa kifupi hizo ni tabia za kikoloni.
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Hapo umenena kaka....shame on Lukuvi na shahada yake hewa!
   
 4. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa Lukuvi anasthili kupewa sifa kemkem kwani kaanza mwalimu wa Primary hadi Masters Degree in Social Development through Distance Learning
   
 5. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ndo mana hawezi kufikiria mambo ya karibu kama jimboni kwake ila anafikilia mambo ya mbali kama kuchukua vitalu vya magogo na mbao kifisadi huko iringa bcoz of distant learning,mwambie ajiandae ziara za ukombozi zitakuja kanda ya kazi na ataaibika sana.we need development and litle politics.ziara ya dom cdm i cant wait oh my GOD.
   
 6. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Hivi Lukuvi anachaguliwa na kuteuliwa kwa kigezo gani huyu mtu? Hali ya Jimboni kwake Simani ni mbaya kuliko inavyofikiriwa.
   
 7. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,937
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Teh, teh....
  Labda penye miti hapana wajenzi......lakini wa kumlaumu ni mzee Malecela.........miaka yote aliyokaa bungeni alikuwa anasinzia tu....
   
 8. kibakwe

  kibakwe Senior Member

  #8
  May 20, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yeye tangu zamani makazi yake ni Dar na kumiliki vitalu Sao Hili, ya Ismani atakuja kwenye kuomba kura tu,hizo ndizo Jadi zao
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Aende kwa david cleopa msuya-mwanga ajionee maendeleo
   
 10. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hivi wabunge kama Lukuvi kazi zao huwa ni nini haswa?
   
 11. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Huwa wanawalubuni wananchi kwa kuwanywesha pombe za kienyeji na kupita bila kupingwa!
   
 12. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  hapa pana hoja.kule Ismani hujisifu kuwa yeye hana mbadala na hakuna yeyote anayeweza kumuondoa madarakani.Ismani wako gizani kiuchaguzi na kimaendeleo.........msaada please!
   
 13. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Na juzi Kibajaji(Livingstone Lusinde),Mbunge wa Mtera ametishia kuwaongoza wananchi wa Jimbo lake kung'oa nguzo zote za umeme zikatishazo kwenye vijiji vyote vya Jimbo lake.Kati ya Vijiji 62 vya Mtera,ni Vijiji viwili tu vyenye huduma ya umeme.......
   
Loading...