Si TU Pentagon baba i'la dunia nzima LabdA Iran ama Israel Wana dawa dhidi ya Vita za ki-drone.Ukiona unasifiwa sana na adui jua yajayo yanaweza kukufanya ukajinyonga , yaani Pentagon hii ikose zana za kutungua hizo drone au kuwa haina tech ya namna hiyo?
Mmh hili nalo Bashungwa mnyambo wa kuchomekewa mkaliangalie
Pentagon ( US) pale Saudi Arabia Wana military bases zaidi ya 2 but Iranian drone hujipigia tu.
Vita hii ya Ukraine imeleta mengi ya kujifunza si TU kwa Urusi Bali hata kwa NATO yote.
1- Imegundulika hata Sam's za kirusi na NATO akina Iris T nk haziwezi kudungua Drone zinazopaa kimo Cha chini kabisa.
2. Drone zimeonekana na zinaendelea kuonekana Ni silaha za lazima kivita kwa Vita yoyote itakayohusisha mataifa.
3. Kuna haja Sasa wababe wa ulimwengu kuingia maabara na kuja na suluhisho la hatari ya drone kivita. Pengine miaka ijayo kutakuwa na air defences maalum kwa ajili ya kamikaze na drone Vita zingine coz Ni mwiba mchungu dhidi ya airdefences.
4. Ongezea