Pentagon yakiri droni za Iran ni "pasua kichwa" kwa Ukraine, USA🇺🇸 na NATO, hakuna 'kinetic interceptors' za kuzidungua!

Ukiona unasifiwa sana na adui jua yajayo yanaweza kukufanya ukajinyonga , yaani Pentagon hii ikose zana za kutungua hizo drone au kuwa haina tech ya namna hiyo?


Mmh hili nalo Bashungwa mnyambo wa kuchomekewa mkaliangalie
Si TU Pentagon baba i'la dunia nzima LabdA Iran ama Israel Wana dawa dhidi ya Vita za ki-drone.

Pentagon ( US) pale Saudi Arabia Wana military bases zaidi ya 2 but Iranian drone hujipigia tu.

Vita hii ya Ukraine imeleta mengi ya kujifunza si TU kwa Urusi Bali hata kwa NATO yote.

1- Imegundulika hata Sam's za kirusi na NATO akina Iris T nk haziwezi kudungua Drone zinazopaa kimo Cha chini kabisa.

2. Drone zimeonekana na zinaendelea kuonekana Ni silaha za lazima kivita kwa Vita yoyote itakayohusisha mataifa.

3. Kuna haja Sasa wababe wa ulimwengu kuingia maabara na kuja na suluhisho la hatari ya drone kivita. Pengine miaka ijayo kutakuwa na air defences maalum kwa ajili ya kamikaze na drone Vita zingine coz Ni mwiba mchungu dhidi ya airdefences.

4. Ongezea
 
Wamezoea Drone kuja moja moja so easy kuidukuwa hizi za Irani zinakuja Tano Tano au zaidi kwa wakati mmoja hivyo ata kama wanafanikiwa kuipiga moja au Mbili tatu au zaidi lazima zipige Target . Tatizo ndo linaanzia hapo-pia Zinaruka Below radar Detection na pia zinatembea very slow below military Drone Specifications (nchi nyingi zikiwemo Israel wapo Lab kudesign system ya kupambana nazo ila mpaka sasa bado kichapo kinaendelea. kwenye katuni zaTommy and Jery kuna episode moja Mwenye Nyumba alinunua robotic Cat (mecano) apambane na Jerry- Jerry alitumia hii trick ya kutuma vipanya vya Chuma zaidi ya Viwili kwa wakati mmoja . Mziki wake ulikuwa sio mdogo Mecano alizibitiwa na Mwenye nyumba ilimbidi amrudishe Tom kuendelea na kazi ya kumdhibiti Jery
elimu ya kukariri "Hoja ni zile zile zinakuja too low "
 
Unazungumzia drones zipi za Marekani? Hizi zilizopelekwa toka May (karibu miezi sita imepita sasa) tukiaminishwa kuwa ni 'game changer' lakini zikachakazwa vibaya na hadi leo hii hazitajwi tena popote?!

Marekani hajawahi kuwa na zana bora zenye kuweza kufua dafu kwenye ushindani huru...na ndio maana huwa akipeleka zana zake sehemu hataki zana za maadui zake zipelekwe...atavuliwa nguo.

Sasa hivi yuko analialia tu na kupiga mayowe kwa nini Iran apeleke droni zinazochoma zanavita za Marekani + NATO zilizopelekwa Ukraine.

Mwambie aache kujilizaliza, yeye si alipeleka game changers, zimeenda wapi?! Apeleke game changers nyingineee.

View attachment 2398271
Silaha zenu bora ni hizi?
20221026_132530.jpg
20221025_234317.jpg
20221022_161937.jpg
 
Hapa ni 2011 Marekani ikiwa na drones za kwenye ndege. B-52 inabeba drones na kuzitawanya, nyinyi bado mnashangilia drones za kubebwa na maroliView attachment 2398247

China wamezijaza maelfu na maelfu ila Russia eti superpower ila hana
Mkuu, vijana wanaomba uwafafanulie kuwa hicho kiingereza cha 'decoy' kuwa ni 'drones' ni cha wapi?

Au mada iliyopo mezani toka 'Pentagon' imekuchanganya kaka😆😅🤣😂😇?

Cc: Agera 1
=====

Screenshot_20221026-153846_Gallery.jpg
 
Daa lugha ni ngumu sana ,, hivi hicho kingereza umeelewa kweli😂 decoy ni drones?
Kwa lugha yenu na namna yenu ya kuelewa uko kwenu, air launched decoy ni matofali ama kitu gani. Bado kuna UAVs aina nyingi air launched, jifanye hutambui hii uonyeshwe nyinginezo. Watu hawalali
 
Maustadhi wanaongea humu utafikiri vita vimeisha na dikteta Putin tayari ameshaweka rais kibaraka wake pale Kiev kumbe ndio Russia wako busy kuhamisha raia toka Kerson kwani hali pale inazidi kuwa mbaya kwa Russia na wale walevi wa vodka waliowapeleka huko Ukraine.
 
Pentagon yakiri kuwa droni zinazonasibishwa na Muajemi (Iran) zimekuwa "pasua kichwa" kwa Ukraine, US na NATO kwa ujumla. Afisa mwandamizi wa Pentagon amesema droni hizo zinachoma vibaya magarivita ya NATO yaliyopelekwa Ukraine (armored vehicles), mifumo ya ulizi wa anga, mikusanyiko ya wanajeshi wa Ukraine pamoja na zana za mizinga za NATO zilizopelekwa Ukraine (artillery).

Afisa huyo mwandamizi wa Pentagon ameongezea kuwa ni vigumu kujikinga dhidi ya mashambulizi ya droni hizo, kwani Marekani NATO wote hawana 'kinetic interceptors' zenye kuweza kudungua droni hizo.

Akichambua zaidi uwezo wa droni hizo, afisa huyo wa ngazi ya juu wa Pentagon amedokeza kuwa droni hizo zinazohusishwa na Uajemi ni za ajabu. Kwani mbali ya uwezo wake uliotukuka wa kushambulia na kuchoma zanavita mbalimbali ikiwemo mifumo ya Ulinzi wa anga, pia zinafanya missions za sampuli tofauti tofauti ikiwemo kukusanya taarifa za kiintelijensia (intelligence), kufatilia zana na majeshi ya adui (surveillance) , na uchunguzi wa maeneo yenye majeshi ya adui (reconnaissance) na hivyo kuyafanya majeshi ya Ukraine na zana zao kuwa hatarini kushambuliwa na droni hizo wakati wowote.

Taarifa hii imeripotiwa na Marekani yenyewe (The National Interest)
=====

View attachment 2398192
A senior Pentagon official did not confirm the exact number of Shahed 136 drones being used to support the Russian effort but made it clear that such an initiative would not be surprising. The Iranian “kamikaze” drones are a loitering munition that can attack from ranges as far as 2,500 kilometers away.

Thousands more Iranian drones may be headed to Ukraine as Russian forces continue to use them to attack armored vehicles, air defenses, troop concentrations, and mobile artillery.

“We do know that Iran has provided Russia with drones for use on the battlefield in Ukraine. While I don't have anything specific to provide in terms of potential future deliveries, it would not -- we would not be surprised were that the case,” a Pentagon official told reporters during a background briefing.

These kinds of weapons present a serious threat to Ukrainian forces as they can be quite difficult to defend against. Large numbers of swarming drones would be quite difficult to target with any kind of kinetic interceptor. These systems also operate at a lower altitude and can be organically launched from dismounted units in close proximity. Finally, these kinds of drones could conduct intelligence, surveillance, and reconnaissance (ISR) missions as well, making Ukrainian armored vehicles, formations, or artillery systems vulnerable to attack.
Kama Iran amejoin the race, tayari watu wanapigana vitu wazi wazi. Ila inaonekana Urusi alijipanga kijasusi kwa muda mrefu. Na atakuwa amechora tree diagram au family tree moja hatari sana mwanzo mwisho. Family tree to show a number of alternatives.
 
Mkuu, vijana wanaomba uwafafanulie kuwa hicho kiingereza cha 'decoy' kuwa ni 'drones' ni cha wapi?

Au mada iliyopo mezani toka 'Pentagon' imekuchanganya kaka😆😅🤣😂😇?

Cc: Agera 1
=====

View attachment 2398444
Unmanned aerial vehicle (UAV), commonly known as a drone, is an aircraft without any human pilot, crew, or passengers on board. UAVs are a component of an unmanned aircraft system (UAS), which includes adding a ground-based controller and a system of communications with the UAV.[1] The flight of UAVs may operate under remote control by a human operator, as remotely-piloted aircraft (RPA), or with various degrees of autonomy, such as autopilot assistance, up to fully autonomous aircraft that have no provision for human intervention.

Inachekesha kuona shabiki anayedai Russia ni superpower akishangilia msaada wa Iran ambaye hata sio regional power, achana na global power. Huwezi kuwa serious unadai Russia ni superpower wakati hata kutengeneza UAVs ndogo hawezi mpaka apewe booster na Israel na Iran. Sasa hiyo si ni sifa ya Houthi, Hezbollah na Hamas
 
Kwa hiyo hali itakuwaje? nafikiri hawa watu watumie busara wamalize hii vita......binadamu tunarudi kule kwenye barbarism.
 
Kwa lugha yenu na namna yenu ya kuelewa uko kwenu, air launched decoy ni matofali ama kitu gani. Bado kuna UAVs aina nyingi air launched, jifanye hutambui hii uonyeshwe nyinginezo. Watu hawalali
Unmanned aerial vehicle (UAV), commonly known as a drone, is an aircraft without any human pilot, crew, or passengers on board. UAVs are a component of an unmanned aircraft system (UAS), which includes adding a ground-based controller and a system of communications with the UAV.[1] The flight of UAVs may operate under remote control by a human operator, as remotely-piloted aircraft (RPA), or with various degrees of autonomy, such as autopilot assistance, up to fully autonomous aircraft that have no provision for human intervention.

Inachekesha kuona shabiki anayedai Russia ni superpower akishangilia msaada wa Iran ambaye hata sio regional power, achana na global power. Huwezi kuwa serious unadai Russia ni superpower wakati hata kutengeneza UAVs ndogo hawezi mpaka apewe booster na Israel na Iran. Sasa hiyo si ni sifa ya Houthi, Hezbollah na Hamas
Acha blaa blaa Mkuu, kubali tu kuwa mada iliyopo mezani toka 'Pentagon' imekuvuruga akili...

Hizo decoy swarm (the Miniature Air-Launched Decoy, or MALD) ulizoziita drones hazijawahi na hazitowahi kuwa drones. Hivyo ni vifaa tu vinavyotumika kuvuta attention ya air defense system ya adui ili air defense system ijishughulishe na kudungua vifaa hivyo (decoys) wakati missile halisi ikishambulia target husika.

Na kuhusu hizo decoys Russia anazo kibao tena ambazo hata USA + NATO hawazijui. Bali juzi kati tu ilipotumika moja maafisa wa Pentagon wakabaki midomo wazi wakistaajabu kuwa Urusi anatumia makombora ya ajabu ambayo wao Pentagon wenyewe (sio wewe shabiki wao) walikiri kuwa hawayafahamu. Yanapenya air defenses za Ukraine.

Drones za Marekani ni zile alizopeleka Ukraine kwa mbwembwe zote...Urusi akawa akizichoma kama mahindi mabichi kwa kutumia teknolojia yake ya mionzi maalumu.
====

Screenshot_20221026-163158_Chrome.jpg


Screenshot_20221026-163353_Chrome.jpg
 
Kwa hiyo leo utalala usingizi mwololoooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wabantu bwana, kazi yetu kushadididia tuuu mambo hata hatujui ni C&P
 
Inachekesha kuona shabiki anayedai Russia ni superpower akishangilia msaada wa Iran ambaye hata sio regional power, achana na global power.
Mkuu ungewauliza Pentagon inakuwaje droni za muajemi (Iran) ambaye sio regional power wala global power zimsumbue 'Superpower' wenu wa mchongo (USA 🇺🇸) + NATO (muungano wa nchi 30 ambazo zimo zinazonasibishwa na u-regional/global power) kiasi kwamba USA/NATO wakiri kuwa hawana 'kinetic interceptors' za kuzidungua droni za Iran dhaifu🤣😂😇!

Ukipata jibu usisite kushea nami.
 
Sio mchezo kwa lugha nyepesi tunaweza tukaziita Dronebomu Yani zikimaliza kurusha mabomu iliyobeba bomu la mwisho ni Drone yenyewe

Ila Iran anasema sio zake Sasa sijui kwa nini wanaendelea kulazimisha kuwa ni za Iran
Duniani kwa sasa kuna siraha ambazo ukisimuliwa au ukizikuta vitani utasema ni jini sio teknolojia kabisa hizo drone apo utakuta kuna mwendelezo wake
 
Mbona hio attach yako haioneshi Wala kuongelea maswala ya drones , wewe Nani kakwambia au Bibi yako
 
Back
Top Bottom