DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,898
Nasikia huku Africa ya mashariki, Kenya inalalamika uchokozi unaofanywa na Tanzania , baada ya majirani zao hao kufanya majaribio ya kurusha makombora ambayo ni Ya masafa marefu.
Ule mweupe sana wa watu wakubwa siyo ule wa vijana mazoba wa pale kinondoni American chips!!!Unga wa mjomba Manji ndo upi huo?
Fundi sikuwezi kwa misamiati! 😀
Lakini unafikiri US anaweza kukurupuka tu na kumpiga Dogo, si rahisi ki hivyo bwana..
Kim atapotezwa c muda mrefu us akili mingiuko sahihi as always, ndio.maana Obama alipendwa ila hakuogopwa kabsa.
pia kwa Kim angependa kabsa hata Trump aende NK, hii ingemaanisha ni kama Trump kashakubaliana na utawala wake, ambao ki ukweli ana umiza wananchi wake. Trump yeye kama yeye naye angependa iwe hivo ila wasaidiz wake ndio watakuwa wana mwambia bro tulia tu utaharib mahusiano na allies wetu, tujarib kusogeza siku mbele tuone mambo yata kaaje.
Hii ni kweli Fundi lakini pia majirani zake wanamkingia kifua kwa maana kwamba, chochote kitakachotokea majirani nao wataathirika sana kitu ambacho sidhani Mataifa mengi yatapendelea.Siyo kukurupuka tu hata kutuma drone ya kumchunguza hawezi anga la north ukikatiza bila tarifa hakuna warning unatunguliwa tu !!
Hahahahahaha unamanisha atamwaga mboga na ugali kwa wakati moja siyo ni kweli ata vurumisha ma dude kila pande na mengine yatagongana huko angani adi rada zishindwe kuona nini kinaendelea ujuwe pia kim anazo nguvu za kutengeneza tetemeko!!!Hii ni kweli Fundi lakini pia majirani zake wanamkingia kifua kwa maana kwamba, chochote kitakachotokea majirani nao wataathirika sana kitu ambacho sidhani Mataifa mengi yatapendelea.
Hahahahahaha unamanisha atamwaga mboga na ugali kwa wakati moja siyo ni kweli ata vurumisha ma dude kila pande na mengine yatagongana huko angani adi rada zishindwe kuona nini kinaendelea ujuwe pia kim anazo nguvu za kutengeneza tetemeko!!!
Hahahahahaha unamanisha atamwaga mboga na ugali kwa wakati moja siyo ni kweli ata vurumisha ma dude kila pande na mengine yatagongana huko angani adi rada zishindwe kuona nini kinaendelea ujuwe pia kim anazo nguvu za kutengeneza tetemeko!!!
The quake occurred at the surface about 11 miles northeast of Sungjibaegam, North Korea, near the country's nuclear testing site.Fundi kiduku anatengenezaje tetemeko?
The quake occurred at the surface about 11 miles northeast of Sungjibaegam, North Korea, near the country's nuclear testing site.
Naturally occurring earthquakes typically occur beneath the surface. That's why this one is likely an artificial earthquake triggered by an explosion.
"Possible explosion, located near the location where North Korea has detonated nuclear explosions in the past," the USGS wrote on the incident page. "If this is indeed an explosion, the USGS National Earthquake Information Center cannot determine what type of explosion it may be, whether nuclear or any other possible type."
Hahaha, eti namba ya Ras Simba, sio kwa wewe bwana.
Asee huku kutishiana sasa ni kazi, naona jamaa wameamua kumuonyesha Kim wanayo pia inayoweza kutua downtown Pyongyang.
ila kwa NK wanavojigamba vita ikianza hapa Marekani ataingia mazima namaanisha ataanza kabisa kukung'uta na missiles za nuclear ili asiwahiweKula gwala mkuu yote yanawezekanaKiduku si kuwa ana nguvu sana
Marekani inamvumilia sababu ya SKorea na Japan tofauti na hapo angekuwa keshagongwa sana tu
Ukute Marekani inajiandaa kuwadungua bila wao kujua kwani SKorea akijua atahamisha wananchi wake na NKorea akijua wananchi wanahama anajua kinachofata ni moto hivyo anaweza anza tupa yale madude yake hovyo hovyo
Si ule hata "kaka" au mwenyekiti wa maisha wa kile chama anatuhumiwa kuutumia?Unga wa mjomba Manji ndo upi huo?
Fundi sikuwezi kwa misamiati! 😀
Lakini unafikiri US anaweza kukurupuka tu na kumpiga Dogo, si rahisi ki hivyo bwana..
But marekani anavifaa vya kuzuia makomboraKwa sasa baada ya test ya kombola la tarehe 4 Jully ndo vita na Marekani vimerudi nyuma!.
Kinacho waumiza ni kuwa hawajui uwezo wa siraha zake na anazo ngap
Mwez April baada ya kufanya test mbili na kufeli wakasema itamchukua miaka mitano ku -master technology ya ICBM ila iyo test ya 4 Jully kombola linaweza fika mpk Alaska Marekani!..
Sasa sio tena S.k na Japan ndo wapo kwenye range ya kupigwa ila hata Marekani huko Alaska!.
Kibaya ingine zinazotumika kuendesha hayo madude bado zinawaumiza kichwa American!..
I thnk mpk mwez wa 10 watatest kombola lilalofika kokote!.
Hapo ndo lasmi wataitana kwenye meZa ya mazungumzo!.
Umeongea point sana mkuuYeah fund25 ushasikia tena USA akipitisha pitisha mi meli yake tena karibu na rasi ya north korea!!?
Nakuhakikishia kuwa kim alizifuta huko bahari ya Japan akaigonganisha na meli ya mzigo akata kuizamisha huwezi sikia tena akikaribia au kusogea huko !!
Adi atakapo badilisha program za mameli yake hujiulizi meli ina rada ya ghali kabisa wamezisifia zinaweza ona ata sindano hujiulizi ilishindwaje kuona meli la mizigo!!
Hahah!, ama kweli wewe Fundi, "akaambiwa na Kim"...![]()
ze kokuyo kumbe ndio tabia yenu ya kujifungia na kusubiri kijua kichomoke halafu muanze mbele kimya kimya!![]()
![]()

![]()
![]()
![]()
ila kwa NK wanavojigamba vita ikianza hapa Marekani ataingia mazima namaanisha ataanza kabisa kukung'uta na missiles za nuclear ili asiwahiwe