Baazigar
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 1,129
- 1,103
Mkuu umesema kuna watu wanajifanya wajuaji sana wakati ata mgambo hawajawai kwenda,hapohapo wewe unasema marekani anajiandaa na surprise attack..!!we umejuaje kama kuna surprise attack?Tatizo sisi wajuaji kuliko kina Mattis na ukiangalia sisi hatujawahi kwenda hata mgambo ila twajua sana
Marekani anafanya risi assessment kwanza anataka amfanyie surprise attack ambayo hatakuja sahau maisha hata wengine wataogopa kupiga bit

