Pentagon And South Korea Respond

Pentagon And South Korea Respond

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
7,466
Reaction score
13,031
170704185422-us-n-korea-missiles-overlay-tease.jpg

Marekani na South Korea wamefanya zoezi la pamoja la kivita kwa kurusha kombola ATACMS (Army Tactical Missile System) katika kujibu majaribio ya NK jana. Taarifa kutoka msemaji wa Pentagon Dana White imesema.
Ameongeza kuwa kombora hilo, "can reach anywhere in the World"..

The American and South Korean militaries have conducted live fire exercises, launching surface-to-surface tactical missiles into neutral waters as a show of force against the latest North Korean ballistic test that coincided with American Independence Day.

“This exercise utilized the Army Tactical Missile System (ATACMS) and the Republic of Korea Hyunmoo Missile II, which fired missiles into territorial waters of South Korea along the East Coast,” the military statement added.."

US & S. Korea fire tactical missiles, demonstrate ‘deep strike capability’ to Pyongyang (VIDEO)

Hahaha, eti ya namba ya Ras Simba, sio kwa wewe bwana.
Asee huku kutishiana sasa na kazi, naona jamaa wameamua kumuonyesha Kim wanayo pia inayoweza kutua downtown Pyongyang.
aah
umetupoteza tulo.kimbia shule (na baadhi walo enda shule.ila.lugha haipandi kama Rais)

nadhan NK wana zidi kuendelea ki nyuklia na US hawajui exactly wafanye nn, ila uzuri Trump.ka delegate sana issues za majeshi kwa wanajeshi wenyewe, so hana presha sana wanajeshi wake wanaumiza vichwa wanapiga na kaz kama hivo.
 
Eti haipandi kama "Rais"...lol!
Sawa bwana! 😀

NK anaendelea na libeneke, na hili la jana limeongeza miles?..
Uzuri Trump anakuwa more diplomatic, naona sasa anataka UN iingilie kati zaidi.
 
hana namna zaid ya kuwa diplomatic, hii ni nyuklia si mchezo, uzuri ni kuwa Trump haumizi kichwa mwenyewe kawaachia wasaidizi wake washughulikie yeye ana kula bata tu, ingekuwa kipindi cha Obama angekuwa halali ana waza afanyaje. ila pia naona Rais mpya wa SK anataka wafanye mazungumzo na NK na si vinginevo
 
Haha, eti Obama angekuwa halali, si ndio uchapakazi huo...lol

Kumbe kuna uwezekano wa mazungumzo btn N&S Korea?!, may be this will be more effective.
Wakiwa wenyewe kwa wenyewe kama ndugu wa karibu.
 
hahaha
ndio maana kwenye maamuzi mengi ya kijeshi Obama alionekana weak, kwakuwa alitaka kila wanajeshi watakalo amua wamwambie kwanza akae na baralaza la usalama la taifa wafikirieee weee! ndio waje na na jibu la kukubali au kukataa, sasa yeye alikuwa raia tu watu wengi wa NSC huwa raia tu, hapo maamuz ya kijeshi yakawa ni magum na yankuchelewa, ki ufupi alijipa kazi kubwa mnoo.
DT yeye alicho fanya ni baada ya kumteua General Mattis aka mwambia nyie chapeni kaz mtakuwa mna nipa report tuu na kweli ma jenerali wana chapa kaz, kwa kuwa wameachiwa uhuru. ndio maana hana shda anapiga golf tu.

mazungumzo ni njia rahis ila itakuwa ni kama ime mpa ushindi N.K nadhan na Trump hapendi hilo
 
hahaha
ndio maana kwenye maamuzi mengi ya kijeshi Obama alionekana weak, kwakuwa alitaka kila wanajeshi watakalo amua wamwambie kwanza akae na baralaza la usalama la taifa wafikirieee weee! ndio waje na na jibu la kukubali au kukataa, sasa yeye alikuwa raia tu watu wengi wa NSC huwa raia tu, hapo maamuz ya kijeshi yakawa ni magum na yankuchelewa, ki ufupi alijipa kazi kubwa mnoo.
DT yeye alicho fanya ni baada ya kumteua General Mattis aka mwambia nyie chapeni kaz mtakuwa mna nipa report tuu na kweli ma jenerali wana chapa kaz, kwa kuwa wameachiwa uhuru. ndio maana hana shda anapiga golf tu.

mazungumzo ni njia rais ila utakuwa ni kama ime mpa ushindi N.K nadhan na Trump hapendi hilo

I see, no wonder Obama alikuwa anaonekana yuko extra care kwenye kila kitu mpaka kuonekana kama weak kwenye baadhi ya maamuzi ya kijeshi.
Na pengine ni mtu wa hands on zaidi, halafu Trump na past experience yake atakuwa kazoea watu kufanya kazi na ku report kwake tu.

Lakini ku deal na Kim kazi kweli. Ni kama vile ukimpiga unamuonea na ukimwacha unamuogopa. Tatizo kakutana na Trump kichwa ngumu mwenzake.
 
uko sahihi as always, ndio.maana Obama alipendwa ila hakuogopwa kabsa.

pia kwa Kim angependa kabsa hata Trump aende NK, hii ingemaanisha ni kama Trump kashakubaliana na utawala wake, ambao ki ukweli ana umiza wananchi wake. Trump yeye kama yeye naye angependa iwe hivo ila wasaidiz wake ndio watakuwa wana mwambia bro tulia tu utaharib mahusiano na allies wetu, tujarib kusogeza siku mbele tuone mambo yata kaaje.
 
Asee hii ya kuongea baina yao imenikumbusha Trump alivyoingia madarakani na kuongea na viongozi ambao hawaendani ki hivyo na matakwa ya Marekani, kama Duterte na vile Trump alisemwa.
Kama pia alivyo nangwa kuhusiana na mtazamo wake kwa Putin na NATO siku za mwanzo.
Kumbe maamuzi mengineyo has to do with allies too.
 
Bwana mapanki anawapa hofu US sana japo wanamdharau lakini anawafanya wasumbue akili zao maana hawajui anawaza nini ukizingatia jamaa mwenyewe kama amedata
 
Hahaha, eti namba ya Ras Simba, sio kwa wewe bwana.
Asee huku kutishiana sasa ni kazi, naona jamaa wameamua kumuonyesha Kim wanayo pia inayoweza kutua downtown Pyongyang.
Sasa mbona wanachelewa.,wana muogopa.
 
Kiduku si kuwa ana nguvu sana
Marekani inamvumilia sababu ya SKorea na Japan tofauti na hapo angekuwa keshagongwa sana tu
Ukute Marekani inajiandaa kuwadungua bila wao kujua kwani SKorea akijua atahamisha wananchi wake na NKorea akijua wananchi wanahama anajua kinachofata ni moto hivyo anaweza anza tupa yale madude yake hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom