Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Highly appriciated our LEGE.Hakika wewe ni super star......Hatimaye John amuachia mikoba Mathew.Ndio maana nilisema nahisi kuna surprise inakuja ya John na Mathew....i was right.Now who is who .Muke wa Deus naye yumo kwanye misheni Deus mwenyewe yuko against hapo Muziki unogile.
 
RIP John and Flaviana.....kwa upande mwingine sasa Jaji Elibariki na Peniela watakula tunda la kati kwa uhuru.Flaviana anaweza kuwa first lady huko baadae na Jaji alibariki President....sio mchezo huku Mathew akiwa mkuu wa usalama wa Taifa........wakuu naota tu ndoto hapa hahahahaha
 
LEGE thank you so much but kumbuka this is wkend please add more jumatatu tuende kazini akili ikiwa fresh mkuu We realy need to refresh after a long weekend.
 
LEGE kumbuka 90% ya JF imrhamia kwenye uzi wako ndio ujue jinsi gani umekuwa popular so kwa ajili ya kuendelea kulinda heshima yako humu ndani tagadhali sana ikiisha hii story .uendelee kutuwekea nyingine na nyingine do not stop.So olease make sure jina lakovunalitendea haki.
 
RIP John and Flaviana.....kwa upande mwingine sasa Jaji Elibariki na Peniela watakula tunda la kati kwa uhuru.Flaviana anaweza kuwa first lady huko baadae na Jaji alibariki President....sio mchezo huku Mathew akiwa mkuu wa usalama wa Taifa........wakuu naota tu ndoto hapa hahahahaha
Sorry nilimaanisha Peniela kuwa First Lady
 
Kipindi John Mwaulsya anawaua wazazi Wa Peniela inaonyesha ilikua in miaka ya 80 mwishoni, mtunzi anatuonyesha mahala kuwa John na baba take Peniela waliwasiliana kwa simu ya mkononi (?), how possible?
Pili kipindi John Mwaulaya akiwa Mdogo (ikumbukwe kuwa hivi sasa in Mzee) aliwahi pewa laku mbili na mwanajeshi kwa kumtafutia mbwa wake aliyekuwa amepotea. Laki mbili miaka ya 1940 au 30? How possible?
Haya ni maeneo nionayo kuwa yanahitaji uboreshwaji katika Hadithi hii.
Otherwise, hii ni bonge la hadithi.
 
Back
Top Bottom