masabuda sio masaburi! nimekuelewa ila ulimhukumu pengo kwa kulizungumzia hilo jambo ambacho mi niliona sio sahihi mwache abwabwaje atakavyo mbona jk nae anamisemo ya kuwa "uongo ukisemwa semwa sana hua ukweli nimeona hilo nilizungumzie"
mimi serikali yake imeprove failure kwenye mafisadi papa, drug dealers wanabaki kukimbizana na wale walio meza pipi airport! je wanaoingiza makontena na yanapita! wea is the government? vyombo vya dola polisi, tiss, takukuru? yote ni jk ndio anayalea na kuyaendekeza
mimi ningefurahi sana kusikia pengo kakamatwa kafikishwa kwenye vyombo husika na sio kumsema kwa mafumbo utafikiri ww mwanamke kumbe rais wa nchi!
tunakazi ya kuweka haki sawa kwa wote, na hapa lazima tuzichape kwanza yaani tupigane vita siku moja ndio tutaheshimiana na kutengeneza system kama rwanda, mambo ya kulindana yamepitwa na wakati
HAKI SAWA KWA WOTE, FULSA SAWA KWA WOTE, MKONDO WA SHERIA SAWA KWA WOTE!