Mchakato wa katiba ulikuwa haramu na in lazma katiba ya kifisadi ipingwe na kila mmoja wetu.Wanaotetea katiba ya chenge na kundi lao LA mafisadi aidha ni mafisadi au vibaraka vyake
Religion is the general theory of that world, its encyclopedic compendium, itsmnafiki huyu yana zaidi ya kutumiwa, tunamjua na sio sisi tunaomfichua ni mungu mwenyewe, kanisa lake ni urojo analishwa anavishwa wenzie wanajenga kwa misuli wanajilisha wenyewe, wote tunajua anachokifanya sasa tumekukataa wewe na CCM wao, wakatoliki pamoja na upole, na kuonekana wamezubaa hawajali kinachoendelea around them, wamechomoka, nchi kwanza maana hata mungu hakuumba dini kabla ya ulimwengu, alitupa nchi nzuri Tanzania, tunasubiri kusilimu kwako tu ndio kilichobaki maana katiba haitakushibisha, sitashangaa nisipokuomba mibinguni maana kilemba chako na wewe mtakua mapahali unapostahihi, sikuhumumu lakini kwa hili moja tulichoona ntashangaa ukikosekana kwa unayemtumikia kwa nguvu huku maluweluwe tu
Uliongoza wewe? Kwani bila misa mtu hawezi kuongea....silly
Pengo anazeeka vibaya ..ana mapengo mengi sana huyu.
Hata wezi huwa wanakana mahakamani
Mkuu, hebu atueleze ni sababu ipi iliyomfanya akae KIMYA mpaka leo kuhusiana na ESCROW? Mbona wakati wa scandal ya RICHMOND alikuwa mara kwa mara akilaumu waliohusika na wakati Fulani aliwalaumu waliokuwa wakipiga kelele ufisadi huo eti 'ukiwatazama usoni ni kama vile hawakupata nafasi ya kushiriki!' Sasa anapotezea kwenye waraka wa Maaskofu tena wa Wakristu wote.kala mgawo Wa escrow huyu na yule askofu mwenzio aliye kula million 80 sema yeye huenda ikawa ndo walio enda kubeba kwa rumbesa
Mleta uzi unaliwa tigo ww maana c rizik ukute,Zitto anawapeleka puta mnajidai kukimbilia kumchafua mpakwa mafuta kwa kua mnajua sio mwanasiasa
Naona umeamua kujitoa ufahamu,unafikiri Pengo atapitia huku JF na kusoma hizo pumba zako Kisha a reply kwakukusifia umemsafisha!?Stupid kabisa
Baba yako akikosea unaweza kutumia MANENO hayo kumkosoa??