Pengo: Nimesamehe

Kwa nini hakutuomba radhi tuliokerwa na matamshi yake yaliyosababisha kelele nchi nzima?
 
Pengo ndio kiongozi wa kanisa Katoliki Tanzania

mkuu kwa mujibu wa canon law zinazoongoza utaratibu wa kanisa hakuna cheo cha mkuu wa kanisa katoliki nchini .ila kuna mkuu wa kanisa katoliki duniani ambaye anaitwa papa hata hivyo cheo hicho anakipata baada ya YESU kuwaambia waafuusi wake petro wewe ni mwamba na juu ya mwamba huu litalijenga kanisa hivyo petro ni mmoja tu ambaye anaitwa askofu wa Roma ambaye ndiye papa hivyo uaskofu ndicho cheo cha mwisho hata papa cheo chake halisi ni askofu mkuu wa roma .hivyo maaskofu ni waandamizi wa mitume .kwa hiyo mwadhama ni askofu mkuu wa jimbo la dar es salaam na mamlaka yake yanaishia jimboni kwake sio nchi nzima
 
Reactions: GP
HUYU ALIITWA MPUUZI AIMTOSHI MUWAAJI KABISA NA wenzake
 

thanks pasco
 
..yeye Pengo si Mungu wa kukosewa na kusamehe..yeye pia ni binadamu..na inasikitisha yeye Pengo hajawahi kuwaomba msamaha maaskofu wenzake kwa kutoa kauli tofauti na makubaliano yao....Mimi bado nasimama na kauli za Gwijma dhidi ya Pengo....maana ni kauli zisizo na chembe ya unafiki...ama Pengo amesahau kuwa unafiki nao dhambi?..inasikitisha sana....Lazima ifike mahali taifa hili liwe na watu wasiopenda unafiki....ndio tunaweza kusonga mbele....Unafiki wa watawala na hata viongozi wa dini umechangia kwa kiwango kikubwa kulifikisha taif hili hapa lilipo....
 
 
Roman Catholics INA historia ya kutesa wakristo wa kweli toka karne nyingi zilizopita.



 
Mungu atamlipa kila mtu aliyehusika katika kumtesa Ask. Gwajima kiasi hiki, hakika hawatabaki salama hata mijusi ndani ya nyumba zao inaweza kukosekana
 

Hakika mkuu, gwajima anahitaji msamaha tu, tena anajikweza kwa kusema Pengo ni askofu wa jimbo kuu la dar, na yeye ni askofu mkuu wa Tanzania, kwahiyo anamaanisha kwamba Pengo ni mdogo kwake kimajukumu.

Asante Pengo kwa kumsamehe huyu mtu hajui atendalo.
 

Amwambia Pinda amwachie Ngwajima
 

Tatizo hawa wasiyo na uelewa wanadhani Pengo ndiye 'Papa' wa Tanzania.
 
Yeye hajaomba msamaha kwa kukwaza watu? Au yeye ni Mungu anayekosewa tu?

Amesema watu wawe huru kuchagua wanacho taka na sio kuwaambia wafanye jambo flani kanakwamba ni watoto wadogo.

Lakini huenda uko sawa, labda akili yako imezoea kuambiwa fanya hivi, nasiku mtu akikuambia ujiongoze mwenyewe kuchagua unachotaka inakuwa ni kikwazo kwako. Pole kama umekwazika.
 
PENGO anatakiwa aombe samahani eti ndo ana anatoa msamaha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…