Pengo ni Askofu,mchunga Kondoo wa Bwana. Hata kama Lowassa ni fisadi hajatengwa na kanisa, isitoshe Pengo yupo kutafuta kilichopotea, ni wajibu wake kumrudisha EL kundini na si vinginevyo.
Tatizo hapa watu wanakwenda na udini mbele.
Kikwete ni Fisadi nambari one, tena Nyangumi wa ufisadi, lakini waislamu wenzake na masheikh hawaishi kumualika ktk sherehe zao,msikitini anatia mguu kama kawaida, lakini hajawahi tajwa na hao Masheikh kama ni fisadi, kwanini basi na mashee walipotoa waraka wao wasimtaje JK kuwa ni fisadi?
Ni vigumu kwa mtu kama wewe ambaye ambaye ugoigoi kwako ni wa kuzaliwa kuelewa jambo lolote, kuendelea kuwa na mjadala nawe ni kitu kigumu sana na kisichowezekana, nadhani ni bora urudishe tu lile jina lako la Utindio wa Ubongo ambalo linaendana na uwezo wako mdogo wa kiakili na ndio maana hata uelewa wako katika yale matamshi ya Pengo yanaonyesha ufinyu wako katika kuchanganua mambo.
Huna ujumbe wowote wala filosofia zaidi ya uzumbukuku na ubwege unaouonyesha katika maandishi yako mengi. Kama nilivyokwambia ni vizuri ukarudisha lile jina lako la zamani la Utindio wa Ubongo kwa sababu ndio linaendana kabisa na ugando wa akili zako, wewe ni bwabwa wa akili na unajijua kwa dhati kuwa ni bwabwa wa akili nadhani ni bora ukaacha kuchangia mambo yaliyo zaidi ya uwezo wa akili zako za kisenene.Ha ha ha..naona sasa umeishiwa kila kona. Ile screen name yangu ya awali ilikuwa imebeba ujumbe mzito na filosfia nyuma yake pia, usidhanie ni akina Pengo tu waliofuzu kwenye filosofia na kujua kuitumia. Kama hukuwa umegundua ile pen name ya awali ilikuwa ina ujumbe gani, basi nakupa pole mara mbili, kwa hili na lile pia.
Afterall I'm also done with you because I have nothing to gain from a great sinker like you. Retarded and hopeless.
Kweli nchi imeoza.Lakini zamu ijayo sijui itakuwa ni kanisa au misikiti? maana kama kweli tunataka changes lazima zianzie nyumbani kwetu.Vinginevyo ni yaleyale ya kuendeleza unafiki
Huna ujumbe wowote wala filosofia zaidi ya uzumbukuku na ubwege unaouonyesha katika maandishi yako mengi. Kama nilivyokwambia ni vizuri ukarudisha lile jina lako la zamani la Utindio wa Ubongo kwa sababu ndio linaendana kabisa na ugando wa akili zako, wewe ni bwabwa wa akili na unajijua kwa dhati kuwa ni bwabwa wa akili nadhani ni bora ukaacha kuchangia mambo yaliyo zaidi ya uwezo wa akili zako za kisenene.
Na Abdulhalim na Pengo je?Pia kuna separation ya men and women..
Uwanja wa matusi...... Unachotakiwa kujua ni kwamba Pengo anatumiwa na west. Na aepewa go ahead na Rome.Ha ha ha..naona sasa umeishiwa kila kona. Ile screen name yangu ya awali ilikuwa imebeba ujumbe mzito na filosfia nyuma yake pia, usidhanie ni akina Pengo tu waliofuzu kwenye filosofia na kujua kuitumia. Kama hukuwa umegundua ile pen name ya awali ilikuwa ina ujumbe gani, basi nakupa pole mara mbili, kwa hili na lile pia.
Afterall I'm also done with you because I have nothing to gain from a great sinker like you. Retarded and hopeless.
Uwanja wa matusi...... Unachotakiwa kujua ni kwamba Pengo anatumiwa na west. Na aepewa go ahead na Rome.
Silaha za kumlinda zimeshatayarishwa. Wanaosema eti wanapeleka vifaru Pemba kwa kuhofia mchafuko wa siasa, wamemiscalculate. Vifaru wangepeleka kwa Pengo badala yake.
Sisi tunaangalia tu ni nani atashinda ngoma hii. Ya mwembe chai tunayajua sasa haya sijui yataishia wapi?
Unachotakiwa kujua ni kwamba Pengo anatumiwa na west. Na aepewa go ahead na Rome.
Acha hadithi zako za vijiweni bibie....!
Wewe ndo mtayarishaji?Silaha za kumlinda zimeshatayarishwa.
Kweli kabisa wewe ni DOGMA!Kati ya hao walioandika huo waraka na huyo Mwanya(PENGO) ni nani kila kukicha anausemea huo waraka?
Nimeamini unaweza ukamaliza madarasa hata mwalimu kufa darasani bila ya kuelimika!Maskini wee,yaani unatia aibu kutetea utumbo!Huko katoliki hakuna demokrasia leo anayetetea hiyo demokrasia atokee katoliki!Maajabu,mbona askofu Malasusa tumemchagua wenyewe hapa bongo?Na ndio maana utagundua viongozi wote wa kidini wanaoteuliwa au kuchaguliwa nje ya nchi yao ni watumwa wa mabeberu hao wa nje kwa ajili ya utashi wao binafsi.Hata ufanye vipi hutaweza kujitakasa na maji ya ******.
Umetaka ndio hivyo hukutaka ndio hivyo,huko hakuna kitu toka njoo huku lutheran au nenda anglican kwani demokrasia inapatikana na si kuletewa mamluki toka roma.
Moderator JF, una hakika kweli JF Haijaoza? Mbona kijiwe cha hoja nzito kinatawaliwa na mjadala wa nafsi badala ya hoja! Tena wengine wanatukanana! Ni aibu kwa JF, imenisononesha! Tena matusi mengine yanalenga imani za watu, si sawa; huwezi ukawawekea breki hao kina Zawadi?
Uwanja wa matusi...... Unachotakiwa kujua ni kwamba Pengo anatumiwa na west. Na aepewa go ahead na Rome.
Silaha za kumlinda zimeshatayarishwa. Wanaosema eti wanapeleka vifaru Pemba kwa kuhofia mchafuko wa siasa, wamemiscalculate. Vifaru wangepeleka kwa Pengo badala yake.
Sisi tunaangalia tu ni nani atashinda ngoma hii. Ya mwembe chai tunayajua sasa haya sijui yataishia wapi?
Zawadi amekuwa mchafuaji na mleta majungu na mdini mkubwa na yeye haangalii hata maana ya mjadala ili mradi si uislam basi anaanza zake . Nakuunga mkono